Umakini katika kazi ni bora zaidi ya ubunifu

Umakini katika kazi ni bora zaidi ya ubunifu

David M Mrope

Senior Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
115
Reaction score
74
🌺Hivi ulishawahi kuwaza kama inawezekana kwa muuza genge la nyanya, vitunguu, kabichi n.k akapata mafanikio zaidi ya mwenye duka hata la nguo au lingine lenye hadhi kubwa?

🌺Hapa ishu ni umakini. Katika kile kidogo ulichonacho kama utajitahidi kukipa umakini mkubwa unaweza ukawazidi wengi wenye kitu kikubwa.

🌺Unavyojitahidi kuwa mbunifu wa vitu tofauti tofauti basi hakikisha katika huo huo ubunifu unakuwa makini na kazi yako.

NB.
👉Ubunifu ni wa mda mchache, ila umakini ni wakila siku.

DAVID M MROPE
SUA
 
Back
Top Bottom