Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

kwanza hawakai muda mrefu
hata ukiwa unamuacha mwenyewe nyumbani na kazi za kawaida kabisa
still atakuletea za kuleta
Mkuu wengine shida huanzia kwa wazazi wao. Unakuta mzazi wake ana tamaa sana na hela anataka mshahara wa binti wote umpe yeye na bado kila wakati anapiga simu kuelezea matatizo ya huko kwao. Na wengine mtoto wao akienda tu likizo kusalimia wakamuona amekua kiasi na amependeza tayari wanaanza kufikiria kumuozesha
 
Unapomchukua mtoto wa miaka 13 lazima kuwe na mtu mzima mwingine nyumbani mwenye kufanya majukumu wakati huyu binti mkimlea akue kufikia umri anaoweza kufanya majukumu ya nyumbani.
Huwezi kumchukua binti mwenye miaka 13 na asubuh mama na baba wote wanaondoka na kumtegemea huyo binti ndo afanye majukumu ya nyumbani huo ni ukatili kama ukatili mwingine tu na wote wawili baba na mama akili zenu zitakuwa zina shida kaisi haiwezekani mtoto wa miaka 13 mkamuacha akalea watoto wenu nyumbani, kuwapikia na kuwafulia.
 
Ni kweli Mkuu! na wengine wanaweza hata kumpiga juju
 
Ndo uhalisia mkuu!
 
hata ww nakuona huna akili timamu yaani umchukue mtoto wa miaka 13 umkuze akufanyie kazi za nyumbani hivi unaelewa unachoandika inamaana ukae nae miaka mitano ukimkuza ili awe kwenye umri sahihi wa kujitegemea na kuweza kuajiriwa..... sasa huyo mtu mzima atakayekua anasaidia kazi si bora mumuajiri awe dada wa kazi.... kwenye swala la kumchukua umkuze hajawa kuku huyo na watu wengi hawana muda wakishapata dada wa kazi hawaangalii umri wao ni kigawa kazi tu
 
Mkuu kwa kitu chochote unachofanya kama huna lengo lenye mantiki huna tofauti na mwendawazimu. Kuna watoto wengine wanaishi kwenye vulnerable environment sana na wewe kumchukua kuishi nae nyumbani kwako kama binti yako utakuwa umefanya jambo jema ila kama nia yako ni kumchukua ili aje akufanyie kazi kwa umri umri huo basi na wewe huna tofauti na wapumbavu.
 
Laki na nusu yote hyoooo
Mshahara wa dada wa kazi ni elf 30 mpk 70 hyo 70 huyo sijui nisemeje
Hyo laki labda wale wa Joyce Kiria

Rafiki yangu alikaa na binti miaka tisaaa...yule dada wazazi walimtaka kwenda kumuozesha kilazima
Hadi likizo alikua anaenda kwao
Binti yule kwanza hujui km ni house gal
Anakoenda anae seheme zote za bataa,binti anavaa pamba kali kuliko mimi[emoji3][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3]acha tuu kuna watu wanajua kukaa na wadada jamani
 
Hongera brooo
Una pepo yako
 
Sasa kama mama hana muda na mtoto wake wa kuzaa je kwanini amezaa sasa!? Yaani Dada wa kazi ni mtoto na yeye anaenda kulea mtoto!?
Kuzaa sio kulea broo
Kuzaa hata paka anazaa ,shida kulea mwanaa!!!
Wadada wanapitia mazito mnoo
Wanawake sisi wanyanyasi mnooo
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huo ndo ujinga mkubwa kuwahi kutokea! Kutunziwa mshahara kabsa na Mama mwenye nyumba?! Sio kweli! hapo mtu lazma apigwe na kitu kizito!
Kuna wenye nyumba wengine ni waaminifu ila wengine wanafanya hivyo kuwadhulumu haki zao, f*ck em.
 
Ni kweli familia nyingi zikipata mdada wa kazi Under age hawana muda wa kutazama maendeleo yake kwa ujumla! Hapo ni heri upate mtu mzima ambaye anaelewa kujisimamia kila kitu!
 
Hao ndo wanaongoza kuchuka vitoto na unyanyasi
Tena wana malezi ya hovyoo hao acha brooo
Vitoto vyao adabuless haviheshimu wakubwa kabisaa
Double Standards Mkuu! Wanachokihubiri ni tofauti na kile wanachokiishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…