Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Kama una uhitaji wa dada nyumbani ishi nae vizuri sana kama unaona huwezi kuishi nae vizuri acha upambane mwenye. Mimi nina watoto naishi nao bila mama nilimchukua binti toka kijijini akiwa na miaka 13(nyumbani kulikuwa na dada yangu ndo anawalea watoto kabla sijapata binti). Huyu binti nilimfanya kama ndo first born wangu na nilimpa option kama anataka kusoma aseme akasema yeye hawezi kusoma akachagua kujifunza mambo ya saloon. Alipofikisha miaka 15 nikampeleka kujifunza anachokipenda na mpaka sasa ana miaka 18 anaendelea na kazi zake za saloon na bado niko nae nyumbani. Watu wengi wanajua yeye ni firstborn wangu kwasababu nikiulizwa huwa nasema ni mtoto wangu nilizaa utotoni. A very nice and bright girl najivunia hata nikisafiri nakuta kila kitu kiko kama ninavyotaka and aliniambia baba nitaondoka hapa nikiolewa
UKIPATA BINTI MZURI ISHI NAE VIZURI KAMA UNAONA SI MZURI MRUDISHE KWAO USITUMIE NAFASI HIYO KUMNYNYASA
 
Ila umenena Kweli, ukiangalia wengi wanaishi na watoto kimateso ndo wanapigwa na viru vizito
Wafanyakazi nao ni wanadamu km sisi au km wanetu
Kuna mtu hata kumnawisha mwanawe hawezi
Wanawake wengi sisi Wafanyakazi wanyanyasi wa wasichana sasa sio kila msichana ana moyo mzuri wa kusamehe wengine wana visasi unavomtukana yeye hana uwezo wa kukurudishia ndo anakuja kukuumiza mara tatu yake...kwa mwanao na wewe na familia nzima
Wamama tubadilike na tuwafunze watoto wetu adabu pia
Vitoto vingi vya sasa havinaga adabu kwa wadada wa kazi maana wazazi wao ndo wanawafundisha watoto ujeuri na wanaona wadada wanavonyanyaswa
 
Ukitaka kujua hawa ma'house girl vichaa wanavipataje, kaa wiki moja au mbili nyumbani halafu uwe una observe namna mkeo anavyo communicate na house girl wenu.

Kuna hizi tabia zipo very common kwa wanawake.

1. Tabia ya kutuma tuma hovyo house girl bila Sababu za msingi ili mradi amuonyeshe kuwa yeye ndie mama mwenye nyumba. Atamtuma dukani akanunue vocha, akirudi atamrejesha tena kufuata chumvu, akirudi hata hajachana ile pakti ya chumvi aweke kwenye kopo la chumvi, atamwambia akamletee nguo kwenye kamba nje, akileta atamwambia hebu ninyooshe, hapo kuna chakula jikoni kinachemka, atamwambia kisiungulie, bado hajamwambia ashughulike na mtoto.

2. Kuwapa mishahara midogo chini ya Shilingi laki 2. Mtu anampa mtoto wa mwenzake mshahara wa laki na nusu ila treatments anazompa ni kama anamlipa milioni 10 kwa wiki. Na hapo unakuta huo mshahara wanapewa wazazi wa binti huko kijijini yeye wanamuachia kiduchu sana.

3. Kuwasema sema au kuwabana na privacy zao. Unakuta binti ni mdogo wa miaka 14 hadi 17 ila mama mwenye nyumba ana mtreat kama ni mtu mzima na sio mtoto ambaye anahitaji supervision na muongozo. Atamlaumu kwann haamki asubuhi, kwann chumvi imezidi, kwann nyumba chafu, kwann watoto hawajaoga kwann anatazama tv kwann hivi kwann vile. Kumbuka huyu binti ndio yupo umri wa kuvunja ungo, so ubongo wake lazima unaingiwa na ujeuri muda mwingine na anabidi kuvimba na kuwa kiburi kwa mama mwenye nyumba bila kujijua sababu hormones zimeanza kukimbiza damu.

4. Wanawake huwa wanawatazama ma'house girl kama misukule ya kukaa ndani tu kwamba hawana hisia za kimapenzi.Baba mwenye nyumba akitaka kumpa tiba ya kibaiolojia mwanamke anakuwa mtu wa kufuatilia sana. Sasa unataka mtoto wa watu afe ukwaju ukimzidia mwilini? Haya mambo muachie baba watoto akusaidie akimpelekea moto na akampa onyo la kukuheshimu mama watoto utaona namna hapo ndani patavyokuwa salama na watoto wenu hawatadhurika hata kidogo.
 
Si tumeacha utamaduni wa kuishi na ndugu majumbani mwetu sababu ya ubinafsi tutegemee mengi zaidi ya haya.
Fungeni camera siku hizi hata elf 40 unafunga chip una connect na simu yako unaona kinachoendelea home
Hiyo sasa ndio hatari mara mbili, siku akiamua kukupiga tukio anakupiga tukio kisawa sawa.
 
Wachaga wengi wanadharau sana na hawawezi kuishi na dada wa kazi sema wanafosi tu.......hili tukio la tatu mtoto wa kichaga anafanyiwa ukatili kisa mamb ya wazazi wake ......
Mtoto amefariki kifo cha hatar sana iseee daaah so sad.........tuwe makini na hawa wadada kama unaona huwezi kuishi naye ni bora utafute ndugu yako ambaye hana mchongo akusaidie kulea watoto......
Wachagga wanajua kupokea pesa tu sio kutoa akitoa anataka uteseke kuipokea na kukaa nayo.
 
Kuna mmoja kaletwa Jana .leo kaiba tv kakimbia.
Haya mambo ya nitafutie dada wa kazi unatuma nauli
 
Na watavuna kweli kweli na kuwadhulumu jasho lao.

Wengine wanawaambia wanawatunzia mishahara yao ila muda ukifika wa kuwalipa wanashusha miezi kuwa pungufu ya ile wanayodaiwa.
Huo ndo ujinga mkubwa kuwahi kutokea! Kutunziwa mshahara kabsa na Mama mwenye nyumba?! Sio kweli! hapo mtu lazma apigwe na kitu kizito!
 
Kama una uhitaji wa dada nyumbani ishi nae vizuri sana kama unaona huwezi kuishi nae vizuri acha upambane mwenye. Mimi nina watoto naishi nao bila mama nilimchukua binti toka kijijini akiwa na miaka 13(nyumbani kulikuwa na dada yangu ndo anawalea watoto kabla sijapata binti). Huyu binti nilimfanya kama ndo first born wangu na nilimpa option kama anataka kusoma aseme akasema yeye hawezi kusoma akachagua kujifunza mambo ya saloon. Alipofikisha miaka 15 nikampeleka kujifunza anachokipenda na mpaka sasa ana miaka 18 anaendelea na kazi zake za saloon na bado niko nae nyumbani. Watu wengi wanajua yeye ni firstborn wangu kwasababu nikiulizwa huwa nasema ni mtoto wangu nilizaa utotoni. A very nice and bright girl najivunia hata nikisafiri nakuta kila kitu kiko kama ninavyotaka and aliniambia baba nitaondoka hapa nikiolewa
UKIPATA BINTI MZURI ISHI NAE VIZURI KAMA UNAONA SI MZURI MRUDISHE KWAO USITUMIE NAFASI HIYO KUMNYNYASA
Hongera sana kwa moyo huo Mkuu! Wachache sana wanaweza!
 
Ila umenena Kweli, ukiangalia wengi wanaishi na watoto kimateso ndo wanapigwa na viru vizito
Wafanyakazi nao ni wanadamu km sisi au km wanetu
Kuna mtu hata kumnawisha mwanawe hawezi
Wanawake wengi sisi Wafanyakazi wanyanyasi wa wasichana sasa sio kila msichana ana moyo mzuri wa kusamehe wengine wana visasi unavomtukana yeye hana uwezo wa kukurudishia ndo anakuja kukuumiza mara tatu yake...kwa mwanao na wewe na familia nzima
Wamama tubadilike na tuwafunze watoto wetu adabu pia
Vitoto vingi vya sasa havinaga adabu kwa wadada wa kazi maana wazazi wao ndo wanawafundisha watoto ujeuri na wanaona wadada wanavonyanyaswa
Sasa kama mama hana muda na mtoto wake wa kuzaa je kwanini amezaa sasa!? Yaani Dada wa kazi ni mtoto na yeye anaenda kulea mtoto!?
 
Ukitaka kujua hawa ma'house girl vichaa wanavipataje, kaa wiki moja au mbili nyumbani halafu uwe una observe namna mkeo anavyo communicate na house girl wenu.

Kuna hizi tabia zipo very common kwa wanawake.

1. Tabia ya kutuma tuma hovyo house girl bila Sababu za msingi ili mradi amuonyeshe kuwa yeye ndie mama mwenye nyumba. Atamtuma dukani akanunue vocha, akirudi atamrejesha tena kufuata chumvu, akirudi hata hajachana ile pakti ya chumvi aweke kwenye kopo la chumvi, atamwambia akamletee nguo kwenye kamba nje, akileta atamwambia hebu ninyooshe, hapo kuna chakula jikoni kinachemka, atamwambia kisiungulie, bado hajamwambia ashughulike na mtoto.

2. Kuwapa mishahara midogo chini ya Shilingi laki 2. Mtu anampa mtoto wa mwenzake mshahara wa laki na nusu ila treatments anazompa ni kama anamlipa milioni 10 kwa wiki. Na hapo unakuta huo mshahara wanapewa wazazi wa binti huko kijijini yeye wanamuachia kiduchu sana.

3. Kuwasema sema au kuwabana na privacy zao. Unakuta binti ni mdogo wa miaka 14 hadi 17 ila mama mwenye nyumba ana mtreat kama ni mtu mzima na sio mtoto ambaye anahitaji supervision na muongozo. Atamlaumu kwann haamki asubuhi, kwann chumvi imezidi, kwann nyumba chafu, kwann watoto hawajaoga kwann anatazama tv kwann hivi kwann vile. Kumbuka huyu binti ndio yupo umri wa kuvunja ungo, so ubongo wake lazima unaingiwa na ujeuri muda mwingine na anabidi kuvimba na kuwa kiburi kwa mama mwenye nyumba bila kujijua sababu hormones zimeanza kukimbiza damu.

4. Wanawake huwa wanawatazama ma'house girl kama misukule ya kukaa ndani tu kwamba hawana hisia za kimapenzi.Baba mwenye nyumba akitaka kumpa tiba ya kibaiolojia mwanamke anakuwa mtu wa kufuatilia sana. Sasa unataka mtoto wa watu afe ukwaju ukimzidia mwilini? Haya mambo muachie baba watoto akusaidie akimpelekea moto na akampa onyo la kukuheshimu mama watoto utaona namna hapo ndani patavyokuwa salama na watoto wenu hawatadhurika hata kidogo.
Safi sana Mkuu
 
Back
Top Bottom