Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Kwanini hiyo hela itafutwe na wazazi wote wawili huku nyumbani mkiacha watoto zenu na watu baki?kwani mnalisha kijiji?yaani muangalizi wa mwanao/wanao damu yako unamuagiza kwa simu kutoka mkoa ambao wewe haujawahi hata kufika?

Wanaofanya hivi huwa wanawaza kwa kutumia kiungo gani?eti maisha,kama ni maisha basi kwanini mwanaume aitwe baba kama hawezi kupambana kulea familia yake mpaka aache walelewe na watu baki?
Ajabu ni kwamba hakuna cha ajabu kinachopatikana kutokana na mahangaiko ya hao wawili ,yaani kipato cha wazazi wanaotoka asubuhi na kurudi jioni hakina utofauti na kile ambacho kingepatikana na baba
Ila masikio hayasikii, vichwa havielewi mwisho wa siku tunaambulia vilio vya kupoteza watoto aidha Kwa vifo.
 
Tabia za kina junior je?

Hivi mnawajua akina junior vizuri?

Kuna watoto Wana dharau hatari, na wanajua dada wa kazi ni mtumwa wao na siyo sehemu ya familia.

Sasa kama junior analeta dharau kwa dada wa kazi, halafu mzazi akiambiwa anakuwa mkali, kifuatacho ni binti kufanya maamuzi.
 
Ni kweli kabsa
 
Mbona ni Junior peke yake tu?! Je kina Angel?
 
Wakina Georgie Zamdela, Agnes Matabane, Lerato Tsotetsi na wengine 😀 Best moment
Saa ingine najikuta nawaza kua zama zile Bora zisingepita
Unaenda Kwa mjomba unakaa Wala huhisi kama upo ugenini
Unakaa Kwa Babu mpaka hutamani kurudi nyumbani
Au unaenda zako Kwa shangazi unacheza na binamu zako mpaka unasahau kwenu
Ila sasaa, tunajenga nyumba kuubwaa ,geti na uzio wa umeme lkn tunaishi kipweke sana
Mtu ana nyumba ya vyumba vitatu na sebule kuubwaa ila kuchukua mtoto wa kaka au dadaake akae nae hawezi ,anaishia kuokoteza watu Baki mwishowe anakuja kutoa yowe.
Kama alivyoimba afande sele , " hakika maendeleo yamekuja na mamboleo"
 
Zama tumezibadilishana! Extend familia zilikuwa ndo msingi bora wa malezi. Nakumbuka nimesoma primary kuanzia darasa la 1 mpaka la 7 nikiwa nakaa sehemu nne tofauti! Kuanzia darasa la kwanza mpaka darasa la tatu nipo kwa bibi (ni mtaa wa nne tu), darasa la nne mpaka la tano nipo kwa mama mkubwa (wilaya nyingine),na darasa la sita mpaka la saba nipo nyumbani 😀 yaani nimelelewa na ndugu kwa malezi mseto ila bora sana.
 
Wachaga wengi wanadharau sana na hawawezi kuishi na dada wa kazi sema wanafosi tu.......hili tukio la tatu mtoto wa kichaga anafanyiwa ukatili kisa mamb ya wazazi wake ......
Mtoto amefariki kifo cha hatar sana iseee daaah so sad.........tuwe makini na hawa wadada kama unaona huwezi kuishi naye ni bora utafute ndugu yako ambaye hana mchongo akusaidie kulea watoto......
Mkuu huwajui wadada wa Kihaya hasa wakiwa na angalau elimu kidogo...
Ni ubandidu hadi kwa ndugu zao wanaotembelea au kuishi majumbani mwao.
Wakichagga nao wamo kwa ubandidu.

Note: Ni baadhi ya wadada toka kabila nilizotaja. Siyo wote.
 
Mkuu huwajui wadada wa Kihaya hasa wakiwa na angalau elimu kidogo...
Ni ubandidu hadi kwa ndugu zao wanaotembelea au kuishi majumbani mwao.
Wskichagga nao wamo kwa ubandidu.

Kwanini Wahaya na Wachanga!?
 
Kuna watu wanawachukulia house girls kama mifugo yao.Kila siku ni vipigo au matusi na kejeli.
Mtavuna mnachopanda.
Tatizo liko hapa kuna watu wanaishi na ma housegirl km Wanaishi na mti yaan hawamjali hawamthamini hawajui yy ndo anawapikia chakula na kukaa na watoto wenu ..kwake kuwaua nyie ni rais sana akiweka tu sumu kwenye msosi...Na hasa wanawake mnamidomo sana yaan unakuta unaongea na mfanyakazi kwa dharaaauuu haya ndo malipo pia hata ma houseboy wanaweza hata kulawiti watoto ukaja kushangaa toto lako linakua shoga.Naruduia tena wanawake kaeni na wafanyakazi kwa upendo.Upande wetu sisi wanaume hatuna shida maana sometime tunawapunguzia upwiru na kuwapoza walee watoto shida ni nyie wake zetu.
 
Mwaka 2020 nilimtembelea Kaka Mkubwa Tabata wa ajili ya kucheck nyumba yake, yeye alikuwa ameondoka kimasomo, sasa nilishangaa sana kuona jirani yake kaipeleka famili nzima out kwenda kula bata halafu wakamuacha beki tatu nyumbani asubuhi ya sikukuu ya Noel. Yaani yule dada aliachiwa nguo kiasi kwamba nilimonea huruma1 Mzee baba nikapika zangu pilau na nyama halafu nikamuita aje tule! Yaani kinyonge sana! baadaye ananiambia kuwa anatakiwa amalize kufua nguo zote siku hiyo hiyo na kwenda kutandika vitanda vya watoto. Nilijisikia vibaya sana! Kadada kana miaka 22 ila anapiga kazi hakuna muda wa kupumzika.
 
Tunajisahau sana mkuu tunaona wafanya kazi wa ndani hawana roho kumfanyia ukatili unaona ni jambo analo stahiri sasa akija kufanya yy sasa lazima upige yowe🤣🤣maana wanapiga pale pale kwenye mshono.
 
Mkuu huwajui wadada wa Kihaya hasa wakiwa na angalau elimu kidogo...
Ni ubandidu hadi kwa ndugu zao wanaotembelea au kuishi majumbani mwao.
Wskichagga nao wamo kwa ubandidu.

Note: Ni baadhi ya wadada toka kabila nilizotaja. Siyo wote.
Kuna mtu lazma aje kutetea kabila lake! 😀
 
Kwanza hiyo familia ni ya wazazi wapuuzi. House girl wa miaka 13 sio house girl ni mtoto, na watoto hawajitambui na hawana akili. Kumuachia mtoto alee mtoto ambaye sio ndugu yake kivyovyote ni ujinga na upuuzi uliopita viwango. Na kwakuwa huyo house girl ni mtoto asiyejitambua, mkimkosea hatoweza kujitetea, ataweka hasira ndani na mwisho wa siku na yeye anamilizia kwa mtoto wenu. Matokeo yake ndio hayo.

Tatizo kubwa ni huyo house girl kuwa mtoto anayehitaji malezi ya wazazi wake vilevile.

Na vilevile, ndoa yoyote na familia yoyote haihitaji house girl. Kama ni hivyo basi huyo mwanamke hafai, ni mvivu, useless na mpumbavu. Na wewe muoaji ni mpumbavu zaidi ya huyo mkeo.

Upumbavu na Upumbavu ukikutana. Matokeo yake ni Upumbavu mkubwa zaidi. Kama huu hapa.
 
Mafisi wakizoom kaphoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumezea mate katoto cha miaka 13 ni upumbavu na kukosa kujitambua. Sasa pale unavutiwa na nini wakati hakajamaliza hata balehe. Hiyo ni condition na ugonjwa maalum unaitwa kuwa Pedophile. Mtu mzima anayevutiwa na watoto.

Watu wenye akili wanahesabu tarehe na saa alafu wanasubiri ile dakika anatimiza 18 kamili ili wawe juu sheria.
 
Ni kweli ila sasa mwanaume mwezangu unakula kitoto cha miaka 16 kweli 😀 yaani ni kama umekula mtoto wako!
Simba hatuna tatizo hilo, mradi anaingia siku zake. Miaka ni namba tu. Mradi usimbake.

Simba tunaanza kuwazowesha watoto wetu kuyajuwa mambo kuanzia wadogo, hatuwaingilii kimwili bali hatuna siri nao kwenye kujamiiana na tunawajibu maswali yao yote kama ilivyo na tunawafundisha wasifanye haraka mpaka wafikie muda wao wa miaka watayokidhi wahitaji yao ya kimwili.

Miako 18 ni mkubwa sana huyo kwa kujamiiana, kama mdogo kwanini ulimleta kukufanyia kazi zako za nyumbani?
 
Back
Top Bottom