Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kunyongwa na dada wa kazi Mei 31, nyumbani kwao Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.

Msichana wa Kazi za ndani mwenye umri wa miaka 13 Mkazi wa kata ya Moshono jijini Arusha anadaiwa kumuua kwa kipigo mtoto wa Boss wake mwenye umri wa miaka minne aitwae Natalia Essau.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mfanyakazi wa ndani, Ashura Suka kwa tuhuma za kumuua mtoto mdogo wa mwajiri wake.

Hizi ni kesi tatu ambazo zimekuwa mfano bora sana wa kinachoendelea ndani ya kaya zetu. Wadada wa kazi ingawa sio wote ila wameonesha namna ya hatari ndani ya makazi haswa wanapoachwa na wanafamilia hususani watoto. Mauaji au majeraha huwa ni matokeo ya baadhi ya vitendo ambavyo hutokea ndani ya nyumba huku wadada wa kazi wakiwa ni wahusika wakuu. Ukiachana na kuhusu kuvunja ndoa za watu wakitumia uchawi na mbinu zingine basi usalama wa familia zetu umekuwa ni dhaifu sana tena pale ambapo tunatoka na kuelekea kwenye harakati za kimaisha.​
  1. Dada yangu ambaye upo kwenye ndoa na una familia yako, hakuna ambaye anafahamu kumhudimia mume wako vyema zaidi yako, hakuna ambaye anajua taste ya chakula kizuri cha mume wako zaidi ya wewe mwenyewe. Hakuna ambaye anajua glasi pendwa ambayo Mume wako anapenda kutumia kunywa maji. Kama mkiwa faragha unampa mapigo yote basi hakikisha sekta zingine unazicheza vyema kama Xavi au Iniesta. Kukiwa hakuna ulazima wa kuleta dada wa kazi basi usifanye uamuzi huo. Hakuna mlezi bora wa mtoto wako zaidi ya wewe ambaye umembeba miezi tisa na kuingia labour. Usijitoe akili kumkabidhi mwanamke mwingine akulele mtoto wako. Kazi na majukumu zisikufanye upoteze umakini kwa familia yako.
  2. Wanaume wenzangu, nyumba zetu zina mambo mengi na Mtume Paulo hakuwa punguwani kiasi hicho mpaka kusema maneno haya "Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwe nyewe ni Mwokozi wa kanisa. 24 Basi, kama vile Kanisa linavyom tii Kristo, vivyo hivyo na wake pia wanapaswa kuwatii waume zao kwa kila jambo. 25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase (Waefeso 5:23-26) Usije kuruhusu mwanamke mwingine akupe mrejesho wa zao la manii zako eti, amekula tayari na amelala, wala usijali! Yaani nisijali kuhusu mtoto wangu?! Shirikiana na mke wako kufuatilia maendeleo ya mtoto au watoto wenu. Waislamu tunafundishwa “Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi … (Quran 4:34)” Akili kumkichwa wanaume.
  3. Kwa jamii, kukiwa na ulazima wa kuishi na dada wa kazi basi hakikisheni mnawapeleka hospitali kupima afya za akili, watu wengi mitaani hupenda wadada waliotoka vijijini tena wenye umri mdogo. Sasa Kitoto kina miaka 16 kimetoka Mufindi ndani ndani huko baada ya kufeli darasa la Saba, kimelelewa na Bibi pekee na hakijawahi kupata upendo wa Baba na Mama, wala kuambiwa na mzazi wake neno Nakupenda sana mwanangu unamchukua unamleta Ubungo Maji na kuishi naye mkiwa na watoto wenu wa miaka 10 hapo nyumbani. Asubuhi wenzake wanaenda shule (English Medium) na yeye anaenda kuosha vyombo vya usiku. Weekend wenzake wanakwenda Kunduchi Wet "N" Wild Water Park kucheza na maji na kula Ice Cream, ila yeye anapewa kazi ya kufua nguo za familia nzima, marundo na marundo ya nguo. Akili yake iaanza kuathirika taratibu na mwishoni atajenga nongwa hatari sana, mdogo mdogo anawaona watoto wenzake kama threat, wapunguzieni kazi na kila baada ya miezi mitatu wapelekeni hospitali wamtazame afya yake ya akili na kuzungumza na wanasaikolojia.​
NINAWAKUMBUSHA TU, KUMTAFUTA DR. CHRIS MAUKI AZUNGUMZE NA FAMILIA YAKO SIO GHARAMA ZAIDI YA KUMPOTEZA MTOTO WAKO KWA MAKOSA AMBAYO AMBAYO YANAZUILIKA.
Nimekuelewewa vzr mtoa mada japo wengine wanasema na mabosi wanawafanyia vibaya wadada wakazi lkn kuliko kutoa roho yakiumbe asiekua na hatia kwa makosa ya mama yake au baba yake kwa nini usiamue kuacha kazi tu ili mambo yasiwe mengi
 
Poleni Sana wote .

Ila ushauri wangu huu hapa

Ubapoishi na MTU yeyote usimbague ishi nae kwa UPENDO Sana .

Pia malipo mlipe MTU pesa nzuri inayojitosheleza kufikia mahitaji yake.


Mpe Uhuru wa kufanya maamuzi Dada wa kazi mpatie Uhuru kamili wa kufanya maamuzi Kama kukushauri n.k.

Itoshe kusema sisi waswahili bado hatuna ufahamu mzuri wa kuishi na watu tuna EGO Fulani inatutesa.


Ukatili ni mbegu ambayo imepandwa kwa MTU .

Ishini na Dada wa kazi na vijana wa Kazi kwa misingi bora .✊🏿
Safi Mkuu
 
Pole kwa wafiwa. Pale unapotaka kumtumia mtoto wa miaka 13 amlee mtoto mwenzake hapo napo tabu. Wazazi tumekuwa busy kutafuta pesa maisha yako less.
Kwanini hiyo hela itafutwe na wazazi wote wawili huku nyumbani mkiacha watoto zenu na watu baki?kwani mnalisha kijiji?yaani muangalizi wa mwanao/wanao damu yako unamuagiza kwa simu kutoka mkoa ambao wewe haujawahi hata kufika?

Wanaofanya hivi huwa wanawaza kwa kutumia kiungo gani?eti maisha,kama ni maisha basi kwanini mwanaume aitwe baba kama hawezi kupambana kulea familia yake mpaka aache walelewe na watu baki?
 
Kwanini hiyo hela itafutwe na wazazi wote wawili huku nyumbani mkiacha watoto zenu na watu baki?kwani mnalisha kijiji?yaani muangalizi wa mwanao/wanao damu yako unamuagiza kwa simu kutoka mkoa ambao wewe haujawahi hata kufika?

Wanaofanya hivi huwa wanawaza kwa kutumia kiungo gani?eti maisha,kama ni maisha basi kwanini mwanaume aitwe baba kama hawezi kupambana kulea familia yake mpaka aache walelewe na watu baki?
Ni mabadiliko ya dunia. Kila anayefanya hivyo atakwambia anafanya hivyo kwa sababu wote wanatafuta pesa kwa maisha mazuri ya watoto wao, ikiwemo elimu, na future nzuri.
Pia siku hizi watoto wa kike wanasoma mpaka vyuoni, unadhani anafanya hivyo halafu aje akae nyumbani? Bila shaka ukioa msomi jua umeoa mfanyakazi.
 
Mimi ndiyo maana huwa napinga sana huu ujinga wa kuoa mke halafu muanze kuondoka wote alfajiri na kurudi usiku huku nyuma mkiacha familia ktk sintofahamu kubwa!

Hao watoto hata wakiwa salama,(unaporudi jioni huoni alipoumia) lakini huwa wana hatari ya kufanyishwa mambo machafu yatakayomuathiri kiafya na kiakili,Kenya hapo kuna house maid alionekana kwenye CCTV camera akimnyonyesha mtoto punani lake.
 
Mimi ndiyo maana huwa napinga sana huu ujinga wa kuoa mke halafu muanze kuondoka wote alfajiri na kurudi usiku huku nyuma mkiacha familia ktk sintofahamu kubwa!

Hao watoto hata wakiwa salama,(unaporudi jioni huoni alipoumia) lakini huwa wana hatari ya kufanyishwa mambo machafu yatakayomuathiri kiafya na kiakili,Kenya hapo kuna house maid alionekana kwenye CCTV camera akimnyonyesha mtoto punnan lake.
Ni kweli kabsa mkuu! tena unamuachia mtu ambaye hajui uchungu wa kuzaa wala kubeba mimba! Dah Punani?! Si uchafu huo sasa!
 
Mimi ni mpenzi wa familia zile za kizamani,ndo suluhisho.
Ila kwa kuwa mnapenda uzungu haya ndio matokeo yake.ukikaa na ndugu hata hausegirl hauna haja nae.
Endeleeni na uzungu wenu
Zamani hizi extended family zimetulea sana! Yaani unapata malezi ya Shangazi na wapwa hata bi mkubwa hakiwa hayupo nyumbani! tena kwa upendo mkubwa sana!
 
Nyege hizo zinawasumbua mpaka wanafanya mambo ya ajabu. Mnachukua wadogo sana na hawajui kinachowasibu.

Chukua mtu mzima ili awe anafanya kazi ya kumshughulikia mumeo au wanao wa kiume wakubwa. Ikibidi hata wa kike awashughulikie, wasisumbue watu.

Kama ni mwanamke unaeajiri madada wa kazi basi chukua dada ambae anayaweza mambo na wewe na yeye mue na siri, unamfndisha amshughulikie mumeo kwa malipo ya ziada wakati haupo, huku unajifanya kama hujui lolote.

Hayo ya juu nawaelekeza wale wasio koo za simba. Koo za Simba hatuna tatizo hilo, tunapewa wadada wa koo za simba wanakuja na wanafanyayote boila siri wala nini, anaweza kuja akaukalia na mama nyumbani ndio akamshikia kuulengesha.
 
Nyege hizo zinawasumbua mpaka wanafanya mambo ya ajabu. Mnachukua wadogo sana na hawajui kinachowasibu.

Chukua mtu mzima ili awe anafanya kazi ya kumshughulikia mumeo au wanao wa kiume wakubwa. Ikibidi hata wa kike awashughulikie, wasisumbue watu.

Kama ni mwanamke unaeajiri madada wa kazi basi chukua dada ambae anayaweza mambo na wewe na yeye mue na siri, unamfndisha amshughulikie mumeo kwa malipo ya ziada wakati haupo, huku unajifanya kama hujui lolote.

Hayo ya juu nawaelekeza wale wasio koo za simba. Koo za Simba hatuna tatizo hilo, tunapewa wadada wa koo za simba wanakuja na wanafanyayote boila siri wala nini, anaweza kuja akaukalia na mama nyumbani ndio akamshikia kuulengesha.
Umezungumza jambo la msingi sana Mkuu!
 
Ni kweli Mkuu ila ni vyema ukaishi na dada wenye imani sawa na wewe!
Ni kweli. Lakini ni vyema pia muhusika alizie au utafute wa imani yako kabisa.

Vinginevyo wote wawili wewe na huyo dada wa kazi mnakua mnamuongopea Mungu kumuaminisha amekubali kwa hiari yake which is not true.
 
Back
Top Bottom