Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
- Thread starter
- #41
Umesahau Mkuu! Saa 3 usiku mnatazama WWE pamoja na The Passion Sebuleni! Sebule kubwa balaa! hakuna sofa mnakaa chini kwenye mkeka!Hauwezi kusikia kesi kama hizo hapo juu.unapikwa ugali mkuubwaaa mnazunguka wote.nyumba kama mpo sokoni.mauaji yatatokea saa ngapi?