Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

Ni kweli kabsa mkuu! tena unamuachia mtu ambaye hajui uchungu wa kuzaa wala kubeba mimba! Dah Punani?! Si uchafu huo sasa!
No offense: ila Jamani msitutukane tusio na watoto , roho haihusiani na kuzaa! Mbona hatujazaa na tunapenda watoto sanaa na wapo wamezaa na wana roho mbaya mno
Ni roho tu ya mtu kuwa mbaya muangalie viashiria mtoto unamuacha na dada ukirudi unakuta hawana hata urafiki ujue pana jambo
 
Nyege hizo zinawasumbua mpaka wanafanya mambo ya ajabu. Mnachukua wadogo sana na hawajui kinachowasibu.

Chukua mtu mzima ili awe anafanya kazi ya kumshughulikia mumeo au wanao wa kiume wakubwa. Ikibidi hata wa kike awashughulikie, wasisumbue watu.

Kama ni mwanamke unaeajiri madada wa kazi basi chukua dada ambae anayaweza mambo na wewe na yeye mue na siri, unamfndisha amshughulikie mumeo kwa malipo ya ziada wakati haupo, huku unajifanya kama hujui lolote.

Hayo ya juu nawaelekeza wale wasio koo za simba. Koo za Simba hatuna tatizo hilo, tunapewa wadada wa koo za simba wanakuja na wanafanyayote boila siri wala nini, anaweza kuja akaukalia na mama nyumbani ndio akamshikia kuulengesha.
Kwamba dada atoke kimapenzi na Mumeo? Hato kudharau?
 
Mauaji au majeraha huwa ni matokeo ya baadhi ya vitendo ambavyo hutokea ndani ya nyumba huku wadada wa kazi wakiwa ni wahusika wakuu. Ukiachana na kuhusu kuvunja ndoa za watu wakitumia uchawi na mbinu zingine basi usalama wa familia zetu umekuwa ni dhaifu sana tena pale ambapo tunatoka na kuelekea kwenye harakati za kimaisha.
Asilimia kubwa tuna fikra hasi sana kuhusu hawa wasaidizi wa nyumbani na inapelekea kuwatendea ubaya. Reaction ni matokea kama haya.

Unawezaje kuajiri mtoto wa miaka 13 nyumbani kwako, ikiwa wewe huwezi ruhusu watoto wako wa umri huo hata kuosha vyombo? Hii ni ishara ya kutokujali na unyanyasaji.

IN EVERY ACTION, THERE IS EQUAL AND OPPOSITE REACTION.
 
Familia chache sana zinaweza kuishi kwa kuheshimu imani ya dada wa kazi! Familia ni Waislamu halafu dada wa kazi ni mlokole!? Hapo kazi itakuwa kazi! Ila nimesema ni vyema ukaishi na dada wakazi ambaye ni imani sawa na familia yenu ili kuepusha migongano ya kiimani! Familia inasoma Surah Al-Baqarah halafu chumbani dada anakemea mapepo?! huo moto sijui atauzima nani?
 
Hakuna dharau, akijuwa unajuwa na aelewe kua anakusaidia mwenye nyumba kwa mambo yote. Tena unamwambia mzee asijue kama yeye anaelewa.

Hakuna mwanamme anaetosheka na mwanamke mmoja.
Na ndo maana wanaume wengi wanapita na beki tatu endapo mke akileta ujinga wa kushinda kuhudumia ndoa
 
No offense: ila Jamani msitutukane tusio na watoto , roho haihusiani na kuzaa! Mbona hatujazaa na tunapenda watoto sanaa na wapo wamezaa na wana roho mbaya mno
Ni roho tu ya mtu kuwa mbaya muangalie viashiria mtoto unamuacha na dada ukirudi unakuta hawana hata urafiki ujue pana jambo
Nisamehe sana Mkuu kama nimekuboa kwa sentensi yangu ila nilichokuwa natamani kusema ni kuwa Sio sahihi kumuacha mtoto wako akiwa na dada wa kazi ambaye kimsingi ni ana umri wa mtoto tena hajui uchungu wa kuzaa (mathalani dada wa kazi ana miaka 13 na unamuachia amlee mtoto wakowa miaka 7 wapi na wapi? Ni ngumu sana)
 
Si tumeacha utamaduni wa kuishi na ndugu majumbani mwetu sababu ya ubinafsi tutegemee mengi zaidi ya haya.
Fungeni camera siku hizi hata elf 40 unafunga chip una connect na simu yako unaona kinachoendelea home
Hili unalosema ni SAHIHI kbsa , unakuta una ndugu yako kijj upo tuu, badala umchukue mfungulie genge au kaduka apo nyumbn huku anakulindia familia yako hapo hapo nyumbn ni bora zaid kulko Risk
 
Hakuna dharau, akijuwa unajuwa na aelewe kua anakusaidia mwenye nyumba kwa mambo yote. Tena unamwambia mzee asijue kama yeye anaelewa.

Hakuna mwanamme anaetosheka na mwanamke mmoja.
Ni kweli ila sasa mwanaume mwezangu unakula kitoto cha miaka 16 kweli 😀 yaani ni kama umekula mtoto wako!
 
Hili unalosema ni SAHIHI kbsa , unakuta una ndugu yako kijj upo tuu, badala umchukue mfungulie genge au kaduka apo nyumbn huku anakulindia familia yako hapo hapo nyumbn ni bora zaid kulko Risk
Ni kweli Mkuu ila kuna baadhi ya ndugu kwa miaka hii wanajisahau mapema sana! Unamtoa Kijijini ila mji ndo unakuwa mwalimu wake! Atajifunza kila kitu bila kufahamu kama ni baya au zuri. Mwishowe viburi na visirani vya kutosha
 
Back
Top Bottom