Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

Umeongea kwa hasira sana...

Anyway huo ndio ukweli

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo nkiwa tajiri niwe Malaya alaf nipigie tako mbili, au falsafa ya haya maelezo yanabeba logic gani!? Nitafte hela niwe Malaya sio?
 
Kwa hiyo nkiwa tajiri niwe Malaya alaf nipigie tako mbili, au falsafa ya haya maelezo yanabeba logic gani!? Nitafte hela niwe Malaya sio?
Soma Uzi vizuri majibu ya maswali yako yamejibiwa humo
 
cc: Mademu wote wa bongo movie na fleva
 
Naona huu uzi mnatukandia matajiri huku mkiwasema maskini.

Kifupi ishi maisha yoyote, hakuna faida ya kufa tajiri au maskini
 
SIE MASIKINI STAREHE YETU KUBWA NI NGONO MAANA NDIO INAYOTULIWAZA NA UGUMU WA MAISHA😂😂😂
Kaka wasikudanganye ata hao matajiri starehe yao kubwa ni ngono...wataruka maldives sijui kwenda serengeti vuta bangi au unga lakini mwisho ya yote watarudi pale pale kwenye mbususu
 
"Matajiri wengi hawaogopi kuitwa wana vibamia, matajiri wengi hawaogopi kugongewa. Kikubwa wanachoogopa matajiri ni kufilisika!"

Hii paragraph imeshiba, tutafute hela.
 
SIE MASIKINI STAREHE YETU KUBWA NI NGONO MAANA NDIO INAYOTULIWAZA NA UGUMU WA MAISHA😂😂😂
Mna msemo wenu wenyewe "tajiri na mali zake, maskini na watoto wake" au ule mwingine " fahari ya maskini ni watoto" hapa kawapanga kama ngazi, wapo sita hivi
 
Mna msemo wenu wenyewe "tajiri na mali zake, maskini na watoto wake" au ule mwingine " fahari ya maskini ni watoto" hapa kawapanga kama ngazi, wapo sita hivi
Wakumbushe
 
Uliyoyaongea yana ukweli ndani yake lakini je unatushauri nini? Tuhasiwe tusiwe na nguvu za kiume au tuwe tunapiga nyeto au tufanyeje? Maana tunakula tunashiba. Mtaimbo unasimama. What's next??

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…