DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Binafs nikigongewa na alienizid hata siumii maana najifunza kitu afu inanikomaza sana.Sijui ila hamna kitu kinauma kama kuongewa kisa hauna hela, inauma vibaya sana. Atleast ukiwana hela hata ukigongewa utaumia ila hela zita kufariji kidogo, ila huna kitu halafu umegongewa hayo maumivu yake haya helekezeki plus nyodo na dharau za mwanamke utapewa kila jina bovu.
Maana akili yangu inajua pesa ndo kila kitu.
Kugongewa na uliemzidi inaumiza San KICHWA, unajiuliza unakwama wapi upati jibu.