Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

Habari wadau wangu wa nguvu mlioko humu. Leo naomba kuwajulisha siri hii chungu kumeza!

SINA MAANA Kwamba Masikini wote ni Malaya HAPANA!

Hapa namaanisha Umalaya na Umasikini ni mapacha wanaopendana! (kulwa na doto) ikumbukwe kwamba siyo kila Doto atatokana na mapacha, Lakini waliowengi ni mapacha!

Tangu kizazi cha Ruthu chimbuko la maangamizi ni lile lile la Umalaya!

hivyo Umalaya ni roho ya kurithi Umasikini. Tendo la ngono msingi wake mkuu ni Kuzaa na starehe.

Ukitaka kuwa tajiri wa Mali kamwe Usikubali kushindana na sehemu za Siri. Hakuna aliyewahi kushinda hiyo vita!

Sehemu za siri ni Lango lenye mtego wa Utajiri na Umasikini.
Hakuna tajiri anaependa ngono! Matajiri wengi ngono kwao starehe binafsi kama kula popcorn.

Ngono inatakiwa uifanye kwa kupata mtoto au KUJIFURAHISHA. Ninaposema kujifurahisha namaanisha kujiwazia mwenyewe kuliko huyo unayefanya nae.

Ukiko... wewe inatosha siyo lazima afike kileleni kwa juhudi zako, akitaka kufika basi ajipeleke mwenyewe.

Ingekuwa ni lazima kumfikisha yeye kwanza ingeumbwa hivyo kwamba shahawa sizitoke hadi yeye afike huko!
Hivyo usitumie muda mwingi kuwaza ngono ya kumfurahisha mtu! Unapoteza muda.HUTATOBOA.

Matajiri wengi hawaogopi kuitwa wana vibamia, matajiri wengi hawaogopi kugongewa. Kikubwa wanachoogopa matajiri ni kufilisika!

Akili ya kuwaza utajiri na ile ya kuwaza ngono ni sawa na chaji zinazokinzana (unlike charges) ikiwa na maana UNACHOKIWAZA ZAIDI ndicho hutawala na kumfukuza mwengine atoke.
Yaani namaanisha ukiwaza sana utajiri husimamishi hovyo!

Ukianza kuwaza mipango ya utajili Makalio ya wanawake utayaona kama makalio ya kondoo. Kwamba kondoo aliyenona huliwa siku maalum ya sikukuu. Na si kila siku!

Ndugu zangu; utajiri hauji kizembe pasipo kuzingatia kanuni hiyo!

Ukiwaza ngono muda wote unakuwa kwenye nafasi kubwa ya Umasikini, magonjwa na hata kifo.

Kila siku utaishia kupata hela ya kula tu ili ushibe ukafanye tena ngono vizuri.

Mpeleke mwanamke kilele cha mafanikio. Hivyo Vilele vyao wacha wajipeleke wenyewe.

Utongoze wewe, uhonge wewe, kitandani wewe, shahawa za protini utoe wewe halafu na kileleni umfikishe wewe ili umlipe Hii si ni zaidi ya kuchanganyikiwa ndugu.

Tajiri hawazi ujinga huo kwanza muda huo hana. Ngoja nikumegee siri hii ifuatayo!

"UKIWA TAJIRI MWANAMKE MWILI WAKE HUWA UNAJIANDAA WENYEWE!"

Huwa wanakuwa na nyege nyingi sana wala hakuna haja ya kuwandaa tena. Tafta pesa utanishukuru.

Kazi ya tajiri ni kupiga tako mbili chali ili kuwahi majukumu mengine.

HAKUNA ALIYEFANIKIWA KWA KUSHINDANA NA SEHEMU ALIPOTOKEA!
Mwenye masikio na asikie!
Piga pachuchi kwa starehe hasa unatakiwa kupiga tako zisizidi tano kisha unawaza mambo mengine ya maana ya kutafuta hela, hakika hili ni somo sana kwangu, hizi mbususu zina cost sana maisha yetu japo ni tamu jamani.😂😂😂
 
Mleta uzi umeongea facts sana, ila vile vijana ni wabishi basi wakifika uzeeni watakuja kusoma na kuuelewa huu uzi wako vizuri kabisa.

Hili la vijana kuweka ngono kipaumbele linawarudisha sana kimaendeleo,, wanajikuta wanatumia muda mwigi kufanya ujinga kuliko kuwaza maendeleo,, wakiachwa wanaanza kulialia hovyo...

Dogo Rajabu nasikia analia lia kuhusu Kajala,,, kama sio Kiki,,,niwahakikishie atakuwa mfano mzuri sana wa kutumia ili ujumbe wa kwenye huu uzi ulete maana.... Majani analifahamu hili.

Reason behind: Kichwa kidogo kikisimama, kikubwa huwa hakifanyi kazi....UMASIKINI huwa unaanzia hapo
 
Aisee
 
Hakika
 
Unaweza usiwe Malaya na bado ukawa maskini vile vile[emoji4]
 
Bandiko zuri sana, Ila Kuna vitu ntakupinga[emoji4]
 
Unamfahamu mtu anaeitwa Mogul Peter Nygard?

Wala cyo maskini ni billionaire wa mitindo.

umalaya ni hulka wala haina uhusiano na umasikini wala utajiri Bokasa alikua maskini?

Je umewai kuckia ya Sani Abacha?
Uko mbali Sana,
Mfalme suleimani wake 700, Michepuko 300
 
Mtoa mada Ni Aina ile ya Watu Watumwa wa pesa zao wenyewe.

Unatafuta sana pesa miaka kibao, kisha unakufa, ndugu wanazitapanya ovyo hata ujaoza kaburini
 
"Matajiri wengi hawaogopi kuitwa wana vibamia, matajiri wengi hawaogopi kugongewa. Kikubwa wanachoogopa matajiri ni kufilisika!"

Hii paragraph imeshiba, tutafute hela.
Kwnyw kutokuogopa kugongewa sio kweli,

Hamna kitu inaumiza Sana mwanamke unamuhudumia afu uskie kagongwa na mtu wa chini yako.

Unajihisi umefedheheshwa sana
 
Sijui ila hamna kitu kinauma kama kuongewa kisa hauna hela, inauma vibaya sana. Atleast ukiwana hela hata ukigongewa utaumia ila hela zita kufariji kidogo, ila huna kitu halafu umegongewa hayo maumivu yake haya helekezeki plus nyodo na dharau za mwanamke utapewa kila jina bovu.
 
Back
Top Bottom