Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

Piga pachuchi kwa starehe hasa unatakiwa kupiga tako zisizidi tano kisha unawaza mambo mengine ya maana ya kutafuta hela, hakika hili ni somo sana kwangu, hizi mbususu zina cost sana maisha yetu japo ni tamu jamani.😂😂😂
 
Mleta uzi umeongea facts sana, ila vile vijana ni wabishi basi wakifika uzeeni watakuja kusoma na kuuelewa huu uzi wako vizuri kabisa.

Hili la vijana kuweka ngono kipaumbele linawarudisha sana kimaendeleo,, wanajikuta wanatumia muda mwigi kufanya ujinga kuliko kuwaza maendeleo,, wakiachwa wanaanza kulialia hovyo...

Dogo Rajabu nasikia analia lia kuhusu Kajala,,, kama sio Kiki,,,niwahakikishie atakuwa mfano mzuri sana wa kutumia ili ujumbe wa kwenye huu uzi ulete maana.... Majani analifahamu hili.

Reason behind: Kichwa kidogo kikisimama, kikubwa huwa hakifanyi kazi....UMASIKINI huwa unaanzia hapo
 
Aisee
 
Hakika
 
Unaweza usiwe Malaya na bado ukawa maskini vile vile[emoji4]
 
Bandiko zuri sana, Ila Kuna vitu ntakupinga[emoji4]
 
Unamfahamu mtu anaeitwa Mogul Peter Nygard?

Wala cyo maskini ni billionaire wa mitindo.

umalaya ni hulka wala haina uhusiano na umasikini wala utajiri Bokasa alikua maskini?

Je umewai kuckia ya Sani Abacha?
Uko mbali Sana,
Mfalme suleimani wake 700, Michepuko 300
 
Mtoa mada Ni Aina ile ya Watu Watumwa wa pesa zao wenyewe.

Unatafuta sana pesa miaka kibao, kisha unakufa, ndugu wanazitapanya ovyo hata ujaoza kaburini
 
"Matajiri wengi hawaogopi kuitwa wana vibamia, matajiri wengi hawaogopi kugongewa. Kikubwa wanachoogopa matajiri ni kufilisika!"

Hii paragraph imeshiba, tutafute hela.
Kwnyw kutokuogopa kugongewa sio kweli,

Hamna kitu inaumiza Sana mwanamke unamuhudumia afu uskie kagongwa na mtu wa chini yako.

Unajihisi umefedheheshwa sana
 
Kwnyw kutokuogopa kugongewa sio kweli,

Hamna kitu inaumiza Sana mwanamke unamuhudumia afu uskie kagongwa na mtu wa chini yako.

Unajihisi umefedheheshwa sana
Sijui ila hamna kitu kinauma kama kuongewa kisa hauna hela, inauma vibaya sana. Atleast ukiwana hela hata ukigongewa utaumia ila hela zita kufariji kidogo, ila huna kitu halafu umegongewa hayo maumivu yake haya helekezeki plus nyodo na dharau za mwanamke utapewa kila jina bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…