Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini.

Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu

Kiujumla tu kuna watu wamelala na wanawake wengi ambao hawezi kuwakumbuka mpaka awaone,

Yaani watu wa aina hii hata akifumaniwa yeye ndo huombwa msamaha na mfumaniaji, nimeshuhudia mara kadhaa matukio kama haya,

Kuna mtu ana uwezo wa kupanga mademu kumi ndani ya siku moja na wote wakatokea geto

Ila wengine nauli zinaliwa na anaambulia manyoya

Umalaya ni kipaji.
 
No sio kipaji...
 
Clairvoyance: Ni Aina Ya Power Pia Walionayo Baadhi Ya Watu Hii Humfanya Mtu Kuhisi Uwepo Wa Mtu Sehemu Aliopo Na Huweza Kumvuta Karibu Yake Pindi Tu Picha Yake Inapomjia Kichwani Na Kuanza Kumvuta Huja Pale Na Utaskia Anakwambia Fulani Yupo Hapa Au Wale Ambao Ipo Kidogo Akikumbuka Tu Jina La Mtu Hupokea Simu Yake Muda Huo huo au Message.

Hawa Pia Huweza Kumvuta Mtu Aliopo Mbali Na Kumleta Karibu Vile Atakavyo....

#Rakims
 
Kipaji au Karama ambayo hutolewa na Mungu inawezekanaje ukasema Umalaya

Mungu anapokupa kipaji lengo ushine na uwasaidie wengine in positive way kipaji ni God given .

Umalaya ni psychological problems na sio kipaji keep this in ur mind .

MTU ambaye yupo enlightenment hawezi kuwa malaya au Ku-entertain ngono kwa kiasi cha kujitesa.
 
Back
Top Bottom