Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
5000 Ina nguvu sana Mkuu niamini MIMI 5000 yule kifaru kwenye NOTI ya 5000 ana nguvu sana MkuuUmalaya ni kipaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5000 Ina nguvu sana Mkuu niamini MIMI 5000 yule kifaru kwenye NOTI ya 5000 ana nguvu sana MkuuUmalaya ni kipaji.
Njoo chumbani nikusamaizie mubebe sio kazi ngumu kabisaKwahiyo unasamaraizi au umeshindwa nimuite mwingine?
Duuuh 😂Maamaee Nyonzo bin mvule Israel FOREVER whether you like it or not.
Nyoooonzooooo
View attachment 3034915
Sio kipaji ni spirit inayowa drive wafanye hivyo.Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini.
Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu
Kiujumla tu kuna watu wamelala na wanawake wengi ambao hawezi kuwakumbuka mpaka awaone,
Yaani watu wa aina hii hata akifumaniwa yeye ndo huombwa msamaha na mfumaniaji, nimeshuhudia mara kadhaa matukio kama haya,
Kuna mtu ana uwezo wa kupanga mademu kumi ndani ya siku moja na wote wakatokea geto
Ila wengine nauli zinaliwa na anaambulia manyoya
Umalaya ni kipaji.