Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini.

Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu

Kiujumla tu kuna watu wamelala na wanawake wengi ambao hawezi kuwakumbuka mpaka awaone,

Yaani watu wa aina hii hata akifumaniwa yeye ndo huombwa msamaha na mfumaniaji, nimeshuhudia mara kadhaa matukio kama haya,

Kuna mtu ana uwezo wa kupanga mademu kumi ndani ya siku moja na wote wakatokea geto

Ila wengine nauli zinaliwa na anaambulia manyoya

Umalaya ni kipaji.
 
No sio kipaji...
 
 
Kipaji au Karama ambayo hutolewa na Mungu inawezekanaje ukasema Umalaya

Mungu anapokupa kipaji lengo ushine na uwasaidie wengine in positive way kipaji ni God given .

Umalaya ni psychological problems na sio kipaji keep this in ur mind .

MTU ambaye yupo enlightenment hawezi kuwa malaya au Ku-entertain ngono kwa kiasi cha kujitesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…