Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

Kipaji na tamaa. Wengi wanakua na tabia za umalaya kwa tamaa, kila atakachoona anakitaka, mwisho wa siku anajikuta kawapanga msululu bila kutarajia.
 
Sio kipaji ni spirit inayowa drive wafanye hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…