Umalaya Shinyanga ni hatari

Umalaya Shinyanga ni hatari

Biashara ya ukahaba inafaida kubwa kuliko hasara, na miongoni mwa faida zake ni kuwa wanaoshiriki ni watu wanaojitambua na hufanya kwa maamzi yao pasipo kushurutishwa.

Na hasara za kutokuwepo ni kuwa hao wanaofanya wakikosa watafanya nini?

Matokeo,, ubakaji, ufilaji, kuingilia ndoa za watu.

Nawasilisha.
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Wananunua condom 1000/= ya kwenda kulala na Mwanamke wa 500/=? [emoji1787]
 
Ulifuata tu kuangalia vijana wanavyoangamia, au basi tuishie hapo!
 
Treni ikija mechi inagairishwa. Nliwahi fika hapo nikiwa advansi old Shinyanga. Tumehudumiwa Sana hapo bakurutu (lumambo). Pia hata lyamidati nilikuwa napewa vitu vimeenda shule. WASUKUMA watani zangu wabarikiwe Sana Walahi
Ebu nyoosha maelezo mkuu lumambo ndo wap? Au lamidati
 
Wananunua condom 1000/= ya kwenda kulala na Mwanamke wa 500/=? [emoji1787]
Kondomu ni bure
Siku hizi kuna NGO zinatoa huduma kwa wadada wanaojiuza. Wanatoa ushauri, Kondomu bure, kupima afya, ARV nk
 
Ukimwi mwingi sana hapo. yaan
Vija kwa wazee, wasichana kwawamama hapo wote ni wagonjwa wa Ukimwi.

UKIMWI bado ni ugonjwa unao tisha sana.

UKIMWI UNAUA.
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Kuna sehemu sasa hv isiyokua na hayo mambo? Si afadhari hata hao wanaojiuza mtu unajua kabisa wamekamatwa na shetani, maeneo mengine hakuna Cha wanao jioanga usiku wala wa mitaani kawaida majumbani, wote wako sawa tu, ulishayembelea Manyara wewe? Karatu na Mbulu?
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Huyo mwenyeji wako hana kazi ya kufanya hapo mjini Shinyanga? Eti ngoja nikupeleke kqa madada poa wa Shinyanga. Bure kabisa
 
Back
Top Bottom