Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Tuishi humu,risk takerila ukipata UKIMWI utahangaika nao peke yako hadi kifo.
Jihadhari bado ukimwi ni ugonjwa hatari zaidi kuliko.
Adhabu ya kumeza ARV kila siku hadi ufe sio mchezo.
Ugonjwa wenyewe unatesa bado ARV nazo zinatesa!! mateso juu ya mateso kisa ngono ya dk.3/5/10/15.
wacha kuchezea uhai wako, tunza afya yako, jilinde.