Umalaya Shinyanga ni hatari

Umalaya Shinyanga ni hatari

Yaani mbunye za jero jero ndiyo uchangamfu wa mji? Hako kamji ni taka mkuu, vichangudoa vichafu vipo tu hata kule soko la mitumba na nguo nane, shiny anga ni moja kati ya miji ya hovyo kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Alisikika muuza mitumba maarufu kutoka katavi akiongea kwa jazba.
 
Yaani mbunye za jero jero ndiyo uchangamfu wa mji? Hako kamji ni taka mkuu, vichangudoa vichafu vipo tu hata kule soko la mitumba na nguo nane, shiny anga ni moja kati ya miji ya hovyo kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Waacheni vijana wa watu waponee humo mnataka wakabake wanafunzi wapigwe nyundo 30 ngome?

Wabongo bana
 
Mimi nilikua Kakola 2000 wakati KMCL inaanza anza. Kipindi kile KMCL inalipa mshahara kiwango Cha kimataifa kabla wanasiasa wetu kuwatonya kwamba mnalipa wabongo pesa nyingi mtawaharibu.
Mabasi yalikua yanatoka Dar na Malaya tu kituo Cha kwanza Kakola. Enzi za bus bar.
Kitambo, ndio waafrika hahaha kwamba malaya wanatoka dar na basiii hatarii, ingawa bado kuna pesa tofauti na vijiji vingi, kuna machimbo madogo madogo zaidi ya 15 kuzunguka wanaspend hapa kakola.

Maisha watu mmeshaponda sana starehe, sasa mnacheka tu vijana tukijitutumua.
 
Yaani mbunye za jero jero ndiyo uchangamfu wa mji? Hako kamji ni taka mkuu, vichangudoa vichafu vipo tu hata kule soko la mitumba na nguo nane, shiny anga ni moja kati ya miji ya hovyo kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ukute unatokea lindi..bure kabisa...mji wa hovyo ila unaijua mitaa yake..[emoji706]

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
ila ukipata UKIMWI utahangaika nao peke yako hadi kifo.

Jihadhari bado ukimwi ni ugonjwa hatari zaidi kuliko.

Adhabu ya kumeza ARV kila siku hadi ufe sio mchezo.

Ugonjwa wenyewe unatesa bado ARV nazo zinatesa!! mateso juu ya mateso kisa ngono ya dk.3/5/10/15.

wacha kuchezea uhai wako, tunza afya yako, jilinde.
 
Yaani mbunye za jero jero ndiyo uchangamfu wa mji? Hako kamji ni taka mkuu, vichangudoa vichafu vipo tu hata kule soko la mitumba na nguo nane, shiny anga ni moja kati ya miji ya hovyo kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yes kuna kuchangamka kwa aina nyingi mkuu, mojawapo ni hiyo.

Ni kweli wale hawana hadhi, ila ndo hivyo kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom