Umalaya Shinyanga ni hatari

Umalaya Shinyanga ni hatari

Uyo mwenyeji wako pia bado hazijui chimbo Tembelea Isale Guest kwenye mikokoteni, kasonzo, Bakurutu, seif Hotel uko relini ni chimbo za watu wa hovyo kama hao waendesha Baiskeli kutoka Uko Bariadi
Ndio maana nika kwambia vijana waendesha baiskeli wana angamia kwa ngono ya buku 2 na jero ..ngoja nita tembelea pia bakurutu na izo place ulizotaja then nitakuletea mrejesho
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Hilo eneo kuna godown nyingi na kituo cha simba cement i think nilipitaga hapo siku moja nilikuta kondomu zilizotumika.kama laki 7 iv
 
Unaanzisha uzi kueleza jinsi ulivyotembezwa na bwege mwenzio kuangalia ujinga?Hivi huwa mnatafakari vitu vya kuandika kweli?@#+%©π|
Kama ni uninga sasa ww una comment nini ? Acha dharau kijana, hapa ni kutoa platform kwa hata wahusika TRC wenye eneo lile wachukue hatua kulimda eneo lile na kutokomeza iyo biashara hayo maeneo
 
Kama ni uninga sasa ww una comment nini ? Acha dharau kijana, hapa ni kutoa platform kwa hata wahusika TRC wenye eneo lile wachukue hatua kulimda eneo lile na kutokomeza iyo biashara hayo maeneo
Nikiona ujinga nisikomenti?Huo utoto alikufundisha nani weye?Hebu tuliza kiuno watu waelekezwe kutoandika miujinga.
 
Nikiona ujinga nisikomenti?Huo utoto alikufundisha nani weye?Hebu tuliza kiuno watu waelekezwe kutoandika miujinga.
Una nipa mashaka kijana sanaa na kauli zako na vimaneno vyako kama "tuliza kiuno" unawezaje kumtamkia mwanaume atulize kiuno ? ...mzima kweli ww ? Au ndio wale wale ma bwabwa ?
 
Mpuuzi.Acha ujingaujinga.Bwabwa ni baba yako mzazi.
Ndio dawa yako kunguni ww, uwe una acha dharau za kujiona ww ni mtakatifu ..ni kheri uka kaa kimya tu na ujaribu kuheshimu uhuru wa watu wengine kutoa maoni yao ......siku nyingine ukiona uzi zangu upite kimya kimya .... Kijana sio riziki ww na vimi saniati vyako vya kike kike....kama unajielewa vizuri sidhani kama upo sahihi kuignore kundi la FSW (female sex worker) ukizingatia hawa ndio kundi kubwa ambalo linachochea ongezeko la HIV kwa 36% lkn pia kwa takwimu za NACP takriban 36000 ya maambukizi mapya ya HIV huchangiwa na wanawake .... Sijui kama ww una fahamu izi mambo zaidi ya kuishia kudharau watu ....
 
Ndio dawa yako kunguni ww, uwe una acha dharau za kujiona ww ni mtakatifu ..ni kheri uka kaa kimya tu na ujaribu kuheshimu uhuru wa watu wengine kutoa maoni yao ......siku nyingine ukiona uzi zangu upite kimya kimya .... Kijana sio riziki ww na vimi saniati vyako vya kike kike
Misamiati ya kike?Uliona ina papuchi hiyo misamiati?Muwe mnaangalia vya kuandika ngedere ninyi!Siyo kila miujinga unaileta JF kama mitoto ya jalalani.Unaandikaandika miujinga kama huna kichwa.Andika vitu vya maana.Stupid!
 
Misamiati ya kike?Uliona ina papuchi hiyo misamiati?Muwe mnaangalia vya kuandika ngedere ninyi!Siyo kila miujinga unaileta JF kama mitoto ya jalalani.Unaandikaandika miujinga kama huna kichwa.Andika vitu vya maana.Stupid!
Ukikuwa utaacha ujinga sio kosa lako ni hatua tu makuzi unazo pitia
 
Akili za mwenyeji wako na wewe zinaendana!
Kweli kukaonesha mgeni Mambo mazuri .....alikosa mambo mabaya ya kukuonesha
Si ni kama western tv stations tu ushawahi kuona BBC world wakionyeaha mazuri ya Africa au Al jazeera wakionyesha mazuri ya Africa ...lkn pia issue niliyo leta ni mpya sana kwangu binafsi kuona malaya wakijiuza kwa buku 2 na jero
 
Mkuu acha uongooo, niko kakola hapa marumba nakunywa pepsi, sijawahi kuona unachosema nina miezi nane hapa keko town, leta location nikaone unayosema...au maeneo ya half london, anu kilo time au kwa mama ray hahahha
Mimi nilikua Kakola 2000 wakati KMCL inaanza anza. Kipindi kile KMCL inalipa mshahara kiwango Cha kimataifa kabla wanasiasa wetu kuwatonya kwamba mnalipa wabongo pesa nyingi mtawaharibu.
Mabasi yalikua yanatoka Dar na Malaya tu kituo Cha kwanza Kakola. Enzi za bus bar.
 
Back
Top Bottom