Umalaya Shinyanga ni hatari

Umalaya Shinyanga ni hatari

Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Hao waendesha baiskeli wanapaki hapo karibu na daraja kabla hujaingia kwenye mataa na wengi wao. Wanaishi kolandnto hao malaya unaosemea hapo wengi wanaishi matanda tanesko
 
Back
Top Bottom