Umalaya

Umalaya

Vile vidogo vidogo vya leso na soksi! 🙂 Na curfrings!

hahaaaaa mbona boxers 'za ukweli' hujaweka we masaki!!! tunapendaga kweli kuwanunulia hizo kitu!!!

kweli unamis!!
 
hahaaaaa mbona boxers 'za ukweli' hujaweka we masaki!!! tunapendaga kweli kuwanunulia hizo kitu!!!

kweli unamis!!

Hahahaha! Kumbe unajua eeeh!!!? Yaani ndio maana yake!
 
yep mkuu,

isikomeshwe. inasaidia sana hasa watu wasio na fedha za kutosha. unaingia market unabargain unapata cha chapchap, satisfied, home kulala.

after all ni burdani kabambe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..Na ni sehemu muafaka ya kufanyia "experiment".....no complain!
 
Yep; na wengine wanasafiri sehemu mbalimbali kuitoa huduma hii; huko Dodoma wakati wa msimu na hata nchi za mbali pia; uarabuni na ulaya!
 
wanaofanya biashara hii wanasema eti wanatafuta riziki

Ha ha ha ha ha utakula mezani kwako siyo 1st lady? Juzi Las Vegas wameruhusu madanguro ya wanaume ambapo wanawake wanaojisikia sikia wanaweza kujipitisha huko na kujichagulia njemba wa kula naye maraha kwa muda kisha kumlipa njemba huyo. Mhhhh! hii dunia sijui inaelekea wapi.
 
Ni kwa sababu there is a demand for such a market! Kama watu wanataka biashara hiyo lazima itokee supply. this is why kwenye niji midogo bado hamna hiyo biashara sana, its because the demand is low.

Hiyo biashara ipo everywhere, hata kwenye miji midogo hata vijijini ipo. tofauti tu ni kwamba kwenye miji midogo au vijijini "suppliers" hawana sehemu maalumu ya kukaa kama sokoni ili kukutana na wateja wao. tena juzi tu nilikuwa kijijini, katika stori na mzee mmoja akaniambia tena vijijini siku hizi hiyo biashara ni kubwa sana.
Kwa kweli inasikitisha na kutisha sana
 
Ha ha ha ha ha utakula mezani kwako siyo 1st lady? Juzi Las Vegas wameruhusu madanguro ya wanaume ambapo wanawake wanaojisikia sikia wanaweza kujipitisha huko na kujichagulia njemba wa kula naye maraha kwa muda kisha kumlipa njemba huyo. Mhhhh! hii dunia sijui inaelekea wapi.

naona kama inaelekea ukingoni hii ni hatari sana
 
Faida na hasara za utandawazi na soko huria ndio hizi, umalaya afrika mashariki upo si kwenye miji mikubwa tu hata miji midogo pia
 
Kuna sheria iko jikoni ya kurasimisha shughuri hii, ili angalau sirikali ipate mapato kwanjia ya kodi. Tafiti nyingi (unpublished) zilizofanywa hapa nchini zinaonyesha kuwa biashara ya umalaya inaweza kutuingizia kipato kikubwa sana.

Hii sheria itaenda sambamba na regulation yake itakayo walinda malaya na wamiliki wa madanguro ili wasiweze kuzulumiwa na manyang'au wanaowachukua kisha wanakataa kulipa hela waliyokubaliana kabla ya kupewa product!!

Stay tuned!! Nafikiri rasimu itapita kwa wadau kwa ajiri ya kutoa input zenu!!
 
wahitaji wa hii bishara ni wengi na watazidi kuwa wengi siku zinavyozidi kwenda.Ugumu wa maisha unachangia kwa kiasi kikubwa sana.
 
Ha ha ha ha ha utakula mezani kwako siyo 1st lady? Juzi Las Vegas wameruhusu madanguro ya wanaume ambapo wanawake wanaojisikia sikia wanaweza kujipitisha huko na kujichagulia njemba wa kula naye maraha kwa muda kisha kumlipa njemba huyo. Mhhhh! hii dunia sijui inaelekea wapi.

Wacha nichangamkie visa; nikafanye kazi huko kwa kujitolea!😀🙂
 
Jamani umalaya umeshamiri sana katika miji mikubwa ya nchi za afrika mashariki.
Hivi hii imekuwa ni biashara katika soko huri?
Hivi ni nini sababu ya biashara hii ya umalaya?
KENYA. UGANDA, na TANZNIA.
Ikomeshweje?

wacha iwepo kama wewe uitaki ipotezee ila ipo toka kabla ya Masiha
 
Back
Top Bottom