Vile vidogo vidogo vya leso na soksi! π Na curfrings!
hahaaaaa mbona boxers 'za ukweli' hujaweka we masaki!!! tunapendaga kweli kuwanunulia hizo kitu!!!
kweli unamis!!
..Na ni sehemu muafaka ya kufanyia "experiment".....no complain!yep mkuu,
isikomeshwe. inasaidia sana hasa watu wasio na fedha za kutosha. unaingia market unabargain unapata cha chapchap, satisfied, home kulala.
after all ni burdani kabambe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..Na ni sehemu muafaka ya kufanyia "experiment".....no complain!
...Haya Eeeh! endelea...Experiment ya kitu gani? Kukata viuno au?
Eee Kigogo.
Are you serious ndugu?
Kulikoni isikomeshwe?
Hii ndio biashara ya zamani kuliko zotee...
wanaofanya biashara hii wanasema eti wanatafuta riziki
Ni kwa sababu there is a demand for such a market! Kama watu wanataka biashara hiyo lazima itokee supply. this is why kwenye niji midogo bado hamna hiyo biashara sana, its because the demand is low.
Ha ha ha ha ha utakula mezani kwako siyo 1st lady? Juzi Las Vegas wameruhusu madanguro ya wanaume ambapo wanawake wanaojisikia sikia wanaweza kujipitisha huko na kujichagulia njemba wa kula naye maraha kwa muda kisha kumlipa njemba huyo. Mhhhh! hii dunia sijui inaelekea wapi.
Eee Kigogo.
Are you serious ndugu?
Kulikoni isikomeshwe?[/QUOTE]
Isikomeshwe kwa sababu ni huduma ya muhimu mno kwa wana jamii
Ha ha ha ha ha utakula mezani kwako siyo 1st lady? Juzi Las Vegas wameruhusu madanguro ya wanaume ambapo wanawake wanaojisikia sikia wanaweza kujipitisha huko na kujichagulia njemba wa kula naye maraha kwa muda kisha kumlipa njemba huyo. Mhhhh! hii dunia sijui inaelekea wapi.
Jamani umalaya umeshamiri sana katika miji mikubwa ya nchi za afrika mashariki.
Hivi hii imekuwa ni biashara katika soko huri?
Hivi ni nini sababu ya biashara hii ya umalaya?
KENYA. UGANDA, na TANZNIA.
Ikomeshweje?