Umalaya

Sio kwenye miji mikubwa peke yake hata vijijini kuna umalaya wa kutisha?
 
Kamueni bana!! hii haikuanza leo mbona Sodoma ilikuwepo bana!!! mtu chake ati, mtaji wa masikini nguvu zake wanangu, ila kinga muhimu si unajua technologia imepanda, na msiache kulipa kodi .....TRA alla!!!
 
kazi hii inafanyiwa promotion na serikali
kwani wauza joto hawawezikukomeshwa?
mimi nadhani kila mwenye umri wa kuoa/kuolewa akamate chombo!!!!
unakuta jitu kubwa halijaolewa unadhani hizo stim anazipeleka wapi
sex is nature bwana.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…