Umasikini Afrika. Vijana tuamke tushike madaraka tuingie kwenye siasa

Umasikini Afrika. Vijana tuamke tushike madaraka tuingie kwenye siasa

Hiyo ndo inaitwa equilibrium mkuu, ili dunia ibalance lazma kuwepo na wenye uwezo na wasionao, africa haiwezi badilika ikawa kama europe, kinachotuangusha ni ufisadi,kutokuwa na system, tabia na mitazamo, cheki wamarekani weusi wanagombana wenyewe kwa wenyewe,kupigana risasa jau sn, ukitaka kuamini nchi kama Angola,nigeria,gabon zina mafuta lakini maendeleo hamna ni ufisadi haswa, inshort mtu mweusi kujitawala na kuweka mifumo hawezi.
✍️
Lamborgini
Inauma sana ndugu yangu hivi nchi za wazungu hakuna ubinafsi na ufisadi?
 
Tumejitakia wenyewe, swala ni uongozi. Muulize professor Lumumba wa Kenya atakupa jibu.
 
Tumejitakia wenyewe, swala ni uongozi. Muulize professor Lumumba wa Kenya atakupa jibu.
The problem of Africa is this "the people who have power have no ideas and those who have ideas have no power " PLO Lumumba
 
Mtu mweusi ana matatizo hata ukienda ulaya bado utaona utofauti wa mtu mweusi na mwafrica
 
Bara ambalo lina nchi inayozidiwa na umeme wake yenyewe lakini inaenda kutumia kodi za walala hoi kununua umeme Ethiopia
 
Back
Top Bottom