Inauma sana ndugu yangu hivi nchi za wazungu hakuna ubinafsi na ufisadi?Hiyo ndo inaitwa equilibrium mkuu, ili dunia ibalance lazma kuwepo na wenye uwezo na wasionao, africa haiwezi badilika ikawa kama europe, kinachotuangusha ni ufisadi,kutokuwa na system, tabia na mitazamo, cheki wamarekani weusi wanagombana wenyewe kwa wenyewe,kupigana risasa jau sn, ukitaka kuamini nchi kama Angola,nigeria,gabon zina mafuta lakini maendeleo hamna ni ufisadi haswa, inshort mtu mweusi kujitawala na kuweka mifumo hawezi.
βοΈ
Lamborgini
Nchi ambayo inauza umeme Ila wananchi wake wanalala njaa na kukimbilia uhamishoniBara ambalo lina nchi inayozidiwa na umeme wake yenyewe lakini inaenda kutumia kodi za walala hoi kununua umeme Ethiopia