DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira.
Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo .
Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni chakula, maradhi na makazi.
Tukianza na chakula -Mpaka leo hii tunaona kuwa bara la Africa linasumbuliwa na tatizo la njaa ambalo linatokana na ukosefu wa chakula - huu ni umasikini wa bandia maana bara la Africa linajitosheleza na lipo na ardhi nzuri inayofaa Kwa kilimo.
Tukija Katika makazi - hapa na penyewe patakuacha midomo wazi kuona mpaka leo watu hawana makazi bora na wengine wakiishi katika nyumba za tope na nyasi
Tukija katika maradhi - hii inajumuisha swala zima la upatikanaji wa maradhi bora ikiwemo huduma bora za Afya mpaka leo Africa idadi ya watu wanaokufa Kwa kukosa maradhi bora ni kubwa .
Hivyo kupamabana na umasikini bandia ni swala gumu maana umaskini wa bandia ni man -made .
Umaskini halisi kupambana nao ni rahisi maana ni swala la kucheza na vipaumbele kipi kianze na kipi kifatie.
Hivyo ikiwa wewe ni masikini na upo Africa jaribu kuangalia Kama huo umasikini ni bandia au halisi.