Halafu mtu kama huyo anapewa Urais kweli kisha watu wanashangilia eti Tumepata mtetezi wa wanyonge,bila kuwasahau viongozi wa dini,eti huyu ni chaguo la Mungu .
Tanzania ina laana kubwa mno
Kama hawana akili ya uwekezaji hakuna uchumi utakaokua hapa tz. Nenda Kenya uone speed ya vijana yani hakuna anayetaka kubaki nyuma. Hatuna viongozi vijana innovative kazi yao kubwa kupambana na wapinzani,matamko mengi,kutishiana kwingi mara usije kwenye mkoa wangu,mara nitakuweka ndani yani tz tupo nyuma sanaaUnakuzwa na nguvukazi ya mwananchi mwenyewe.
Hao ni wanasiasa achana nao,hata wapinzani wanasiasa pia.Kama hawana akili ya uwekezaji hakuna uchumi utakaokua hapa tz. Nenda Kenya uone speed ya vijana yani hakuna anayetaka kubaki nyuma. Hatuna viongozi vijana innovative kazi yao kubwa kupambana na wapinzani,matamko mengi,kutishiana kwingi mara usije kwenye mkoa wangu,mara nitakuweka ndani yani tz tupo nyuma sanaa
Watu tulijua hata kuchagua katambuga gani ni nzuri! Unga wa Yanga tuliununua kwa vinote vile vile. Maofisini kila mtu anavaa katambuga siyo ya sasa eti unachaguliwa cha kuvaa kwenda ofisini kwa watu kama pale Ardhi na uhamiaji! Wangejua watu tulikuwa tukiona mtu na mtumba tunamwonea wivu?? Khanga za Kenya zilikuwa mali baada ua urafiki na viwanda vingine kuishiwa mali ghafi.I still remember those days, katambuga, midabwada(viraka), duka la kaya zilikuwa ni common terms. Kwenda kununua vitu National milling(in bulk) ilikuwa mpaka uwe na ka'note ka kutoka wizarani.
Kwa senior officers wa serikali na wa kwenye mashirika ya umma kulikuwa na unafuu lakini kwingineko ilikuwa ni mshikemshike.
Naachana nao kivipi kaka? Kwa hio wanasiasa hawana impact yoyote juu ya uchumi Wetu?negotiation nyingi za maswala ya fedha si wanafanya wao? Korosho,madini nkHao ni wanasiasa achana nao,hata wapinzani wanasiasa pia.
Ndio maana nikakwambia achana nao, mwanasiasa akikwambia hali ni mbaya sana mtaani frem zinafungwa, wakati mwenye frem kapandisha bei ya kwako na bado upo, unamuelewaje huyo mwanasiasa???Naachana nao kivipi kaka? Kwa hio wanasiasa hawana impact yoyote juu ya uchumi Wetu?negotiation nyingi za maswala ya fedha si wanafanya wao? Korosho,madini nk
Kuna mtu humu anasema eti Kenya tupo nao sawa kimaendeleo DWatu tulijua hata kuchagua katambuga gani ni nzuri! Unga wa Yanga tuliununua kwa vinote vile vile. Maofisini kila mtu anavaa katambuga siyo ya sasa eti unachaguliwa cha kuvaa kwenda ofisini kwa watu kama pale Ardhi na uhamiaji! Wangejua watu tulikuwa tukiona mtu na mtumba tunamwonea wivu?? Khanga za Kenya zilikuwa mali baada ua urafiki na viwanda vingine kuishiwa mali ghafi.
Daaah! mkuu nimesema hapo kabla, kufaaaa tu, ikibidi usiogope!Huwezi wakwepa ndo uongoza dunia either ushirikiane nao usife au usishirikiane nao ufe.Kila mbabe na mbabe wake alishindwa ticha ndio ataweza huyu akiwa na export ndo ataweza huyu anaetegemeaye kuchukua za machinga na za matrafiki barabarani.Hao sio chadema.
Per capital income sijui ila kwa mapato ya kila mtu wanaweza kutuzidi sababu hata pesa yao ipo juu. sh. 1 ya kenya sawa na 10 ya kwetu kama sikosei.Kuna mtu humu anasema eti Kenya tupo nao sawa kimaendeleo D
Aachane nao vipi wakati wao ndiyo wanaongoza nchi yetu. Unawezaje kuwachana na Waziri, Mkuu wa Mkoa ama wilaya wakati athari zao kwenye mipango ya maendeleo wao ndiyo wapangaji na wasimamiaji?Hao ni wanasiasa achana nao,hata wapinzani wanasiasa pia.
Hizi hadhithi kwamba Kambarage alikuwa hajui Kiswahili huwa mnazitoa wapi? Hivi Ushamba wa Mwalimu ilikuwa ni mwaka gani?Tena basi watoto wadogo tu. ka Julius kalikuwa katoto kadogo kazanaki kashamba hakajui hata kiswahili lakini ona leo! walikadharau sana. ''haka kazanaki wazungu watakaua tena kwa makofi tu''
Dah kwahiyo mkwamishaji ni Tundu Lissu?Mwambie sasa Tundu Lisu aache ujinga anaoufanya kama kweli unamaanisha na hutak turud huko.
Daaah! mkuu nimesema hapo kabla, kufaaaa tu, ikibidi usiogope!
Bhitaa! ni bhitaa! walisema wale jamaaa
Heri kufa umesimama kuliko kufa umepiga magoti.
Mmasai anathamini kuliwa na Simba mnyama (siyo simba team) kuliko Fisi,
Slave trade leo imekuwa historia Duniani sababu wazungu walipata taabu sana kuwamiliki, tena watumwa walikufa wengi, rejea zenj-Rebellion. waliamua bora tufeeee, wakafa kwa kudhalilika kwelix2 tena na tena ili wengine waishi. sababu ; walijitambua. usipotaka kufa wewe wengine watakufa ajili yako. FREEDOM IT DEMAND HUMILIATIONS AND SACRIFICES FROM EVERY ONE OF US mandela alisema hii miaka 50 ilopita. leo unaandika hapa kwa amani kuna watu nyuma yako walijitoa kabisa ili usome, upate kazi, ule,uoge, katika vita kuna waoga wewe.unaweza kuwa mmoja wao.Wahindi walitumia silaha ndogo sana kuwagomea tu baasi. wako wapi leo?, hawanunui, hawasemi, hawafanyi,hawaelewi
Tena basi watoto wadogo tu. ka Julius kalikuwa katoto kadogo kazanaki kashamba hakajui hata kiswahili lakini ona leo! walikadharau sana. ''haka kazanaki wazungu watakaua tena kwa makofi tu''
Nikitazamaaa pamphlet ya Azimio la Arusha sioni tatizo.
Ninayo hapa mfukoni kwangu natembea nayo. tatizo Nyerere siyo Mzungu, ndo maana waliponda Azimio la Arusha
Angekuwa zungu wengi wangejichekesha '' dis azimio is fantastic kwa kweli''
Sijui mlikula maharage ya wapi! nyie wazee msitusumbue humu ndani na Maduka yenu ya Ushirika. Sijui NMC.RTC madude gani sijui.hamkufanya kitu cha maana ila Nyerere alitimiza wajibu wake. ona tunavyopata taabu eti mnadhani ile ndo ilikuwa tabu.
Si mlikaa mkakubaliana mjini Arusha? na huyo Kambona wenu si alikuwemo huyu ni kama malaya tu, alikuwa anabadilika badilika, alikuwa anamlia timing ya kumuua Julius. ili yeye kambona awe Rais. akajitorosha akidhani Nyerere hajui, alimuacha tu aende zake.
Unajua kabla ya huyo mzanaki kupewa nchi kwa makaratasi kuna mwingine alikwenda kuomba hayo "makaratasi" akanyimwa?Huyo mzanaki alipewa nchi kwa makaratasi
Unajua kabla ya huyo mzanaki kupewa nchi kwa makaratasi kuna mwingine alikwenda kuomba hayo "makaratasi" akanyimwa?
BHATU BHA MARA HAWACHUI GHISWAHIRI, MURAAA JULIUS KARICHIFUNSA MUCHIN TAISARAMA.Hizi hadhithi kwamba Kambarage alikuwa hajui Kiswahili huwa mnazitoa wapi? Hivi Ushamba wa Mwalimu ilikuwa ni mwaka gani?
Mbona hata yeye alikuwa anakili kuwa alikuwa hajui kiswahili vizuri? fuatilia hotuba zakeUnajua kabla ya huyo mzanaki kupewa nchi kwa makaratasi kuna mwingine alikwenda kuomba hayo "makaratasi" akanyimwa?