Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Ni chaguo la shetani huyu. Mungu hawezi kutuchagulia mwizi, fisadi, mwenye chuki za kutisha, roho mbaya na visasi, muongo na MUUAJI.

Halafu mtu kama huyo anapewa Urais kweli kisha watu wanashangilia eti Tumepata mtetezi wa wanyonge,bila kuwasahau viongozi wa dini,eti huyu ni chaguo la Mungu .
Tanzania ina laana kubwa mno
 
Unakuzwa na nguvukazi ya mwananchi mwenyewe.
Kama hawana akili ya uwekezaji hakuna uchumi utakaokua hapa tz. Nenda Kenya uone speed ya vijana yani hakuna anayetaka kubaki nyuma. Hatuna viongozi vijana innovative kazi yao kubwa kupambana na wapinzani,matamko mengi,kutishiana kwingi mara usije kwenye mkoa wangu,mara nitakuweka ndani yani tz tupo nyuma sanaa
 
Hao ni wanasiasa achana nao,hata wapinzani wanasiasa pia.
 
I still remember those days, katambuga, midabwada(viraka), duka la kaya zilikuwa ni common terms. Kwenda kununua vitu National milling(in bulk) ilikuwa mpaka uwe na ka'note ka kutoka wizarani.
Kwa senior officers wa serikali na wa kwenye mashirika ya umma kulikuwa na unafuu lakini kwingineko ilikuwa ni mshikemshike.
Watu tulijua hata kuchagua katambuga gani ni nzuri! Unga wa Yanga tuliununua kwa vinote vile vile. Maofisini kila mtu anavaa katambuga siyo ya sasa eti unachaguliwa cha kuvaa kwenda ofisini kwa watu kama pale Ardhi na uhamiaji! Wangejua watu tulikuwa tukiona mtu na mtumba tunamwonea wivu?? Khanga za Kenya zilikuwa mali baada ua urafiki na viwanda vingine kuishiwa mali ghafi.
 
Naachana nao kivipi kaka? Kwa hio wanasiasa hawana impact yoyote juu ya uchumi Wetu?negotiation nyingi za maswala ya fedha si wanafanya wao? Korosho,madini nk
Ndio maana nikakwambia achana nao, mwanasiasa akikwambia hali ni mbaya sana mtaani frem zinafungwa, wakati mwenye frem kapandisha bei ya kwako na bado upo, unamuelewaje huyo mwanasiasa???
 
Watu tulijua hata kuchagua katambuga gani ni nzuri! Unga wa Yanga tuliununua kwa vinote vile vile. Maofisini kila mtu anavaa katambuga siyo ya sasa eti unachaguliwa cha kuvaa kwenda ofisini kwa watu kama pale Ardhi na uhamiaji! Wangejua watu tulikuwa tukiona mtu na mtumba tunamwonea wivu?? Khanga za Kenya zilikuwa mali baada ua urafiki na viwanda vingine kuishiwa mali ghafi.
Kuna mtu humu anasema eti Kenya tupo nao sawa kimaendeleo D
 
Huwezi wakwepa ndo uongoza dunia either ushirikiane nao usife au usishirikiane nao ufe.Kila mbabe na mbabe wake alishindwa ticha ndio ataweza huyu akiwa na export ndo ataweza huyu anaetegemeaye kuchukua za machinga na za matrafiki barabarani.Hao sio chadema.
Daaah! mkuu nimesema hapo kabla, kufaaaa tu, ikibidi usiogope!

Bhitaa! ni bhitaa! walisema wale jamaaa

Heri kufa umesimama kuliko kufa umepiga magoti.

Mmasai anathamini kuliwa na Simba mnyama (siyo simba team) kuliko Fisi,

Slave trade leo imekuwa historia Duniani sababu wazungu walipata taabu sana kuwamiliki, tena watumwa walikufa wengi, rejea zenj-Rebellion. waliamua bora tufeeee, wakafa kwa kudhalilika kwelix2 tena na tena ili wengine waishi. sababu ; walijitambua. usipotaka kufa wewe wengine watakufa ajili yako. FREEDOM IT DEMAND HUMILIATIONS AND SACRIFICES FROM EVERY ONE OF US mandela alisema hii miaka 50 ilopita. leo unaandika hapa kwa amani kuna watu nyuma yako walijitoa kabisa ili usome, upate kazi, ule,uoge, katika vita kuna waoga wewe.unaweza kuwa mmoja wao.Wahindi walitumia silaha ndogo sana kuwagomea tu baasi. wako wapi leo?, hawanunui, hawasemi, hawafanyi,hawaelewi

Tena basi watoto wadogo tu. ka Julius kalikuwa katoto kadogo kazanaki kashamba hakajui hata kiswahili lakini ona leo! walikadharau sana. ''haka kazanaki wazungu watakaua tena kwa makofi tu''
 
Nikitazamaaa pamphlet ya Azimio la Arusha sioni tatizo.
Ninayo hapa mfukoni kwangu natembea nayo. tatizo Nyerere siyo Mzungu, ndo maana waliponda Azimio la Arusha

Angekuwa zungu wengi wangejichekesha '' dis azimio is fantastic kwa kweli''

Sijui mlikula maharage ya wapi! nyie wazee msitusumbue humu ndani na Maduka yenu ya Ushirika. Sijui NMC.RTC madude gani sijui.hamkufanya kitu cha maana ila Nyerere alitimiza wajibu wake. ona tunavyopata taabu eti mnadhani ile ndo ilikuwa tabu.

Si mlikaa mkakubaliana mjini Arusha? na huyo Kambona wenu si alikuwemo huyu ni kama malaya tu, alikuwa anabadilika badilika, alikuwa anamlia timing ya kumuua Julius. ili yeye kambona awe Rais. akajitorosha akidhani Nyerere hajui, alimuacha tu aende zake.
 
Hao ni wanasiasa achana nao,hata wapinzani wanasiasa pia.
Aachane nao vipi wakati wao ndiyo wanaongoza nchi yetu. Unawezaje kuwachana na Waziri, Mkuu wa Mkoa ama wilaya wakati athari zao kwenye mipango ya maendeleo wao ndiyo wapangaji na wasimamiaji?
 
Tena basi watoto wadogo tu. ka Julius kalikuwa katoto kadogo kazanaki kashamba hakajui hata kiswahili lakini ona leo! walikadharau sana. ''haka kazanaki wazungu watakaua tena kwa makofi tu''
Hizi hadhithi kwamba Kambarage alikuwa hajui Kiswahili huwa mnazitoa wapi? Hivi Ushamba wa Mwalimu ilikuwa ni mwaka gani?
 
Daaah! mkuu nimesema hapo kabla, kufaaaa tu, ikibidi usiogope!

Bhitaa! ni bhitaa! walisema wale jamaaa

Heri kufa umesimama kuliko kufa umepiga magoti.

Mmasai anathamini kuliwa na Simba mnyama (siyo simba team) kuliko Fisi,

Slave trade leo imekuwa historia Duniani sababu wazungu walipata taabu sana kuwamiliki, tena watumwa walikufa wengi, rejea zenj-Rebellion. waliamua bora tufeeee, wakafa kwa kudhalilika kwelix2 tena na tena ili wengine waishi. sababu ; walijitambua. usipotaka kufa wewe wengine watakufa ajili yako. FREEDOM IT DEMAND HUMILIATIONS AND SACRIFICES FROM EVERY ONE OF US mandela alisema hii miaka 50 ilopita. leo unaandika hapa kwa amani kuna watu nyuma yako walijitoa kabisa ili usome, upate kazi, ule,uoge, katika vita kuna waoga wewe.unaweza kuwa mmoja wao.Wahindi walitumia silaha ndogo sana kuwagomea tu baasi. wako wapi leo?, hawanunui, hawasemi, hawafanyi,hawaelewi

Tena basi watoto wadogo tu. ka Julius kalikuwa katoto kadogo kazanaki kashamba hakajui hata kiswahili lakini ona leo! walikadharau sana. ''haka kazanaki wazungu watakaua tena kwa makofi tu''

Huyo mzanaki alipewa nchi kwa makaratasi si kwamba alipambana kuleta Uhuru wao walichoka pia waliona ni gharama kubwa kuyaendesha makoloni hivyo akipatikana MTU angalau wamwachie baada ya kutengeneza mifumo ya kuwategemea wao.
 
Nikitazamaaa pamphlet ya Azimio la Arusha sioni tatizo.
Ninayo hapa mfukoni kwangu natembea nayo. tatizo Nyerere siyo Mzungu, ndo maana waliponda Azimio la Arusha

Angekuwa zungu wengi wangejichekesha '' dis azimio is fantastic kwa kweli''

Sijui mlikula maharage ya wapi! nyie wazee msitusumbue humu ndani na Maduka yenu ya Ushirika. Sijui NMC.RTC madude gani sijui.hamkufanya kitu cha maana ila Nyerere alitimiza wajibu wake. ona tunavyopata taabu eti mnadhani ile ndo ilikuwa tabu.

Si mlikaa mkakubaliana mjini Arusha? na huyo Kambona wenu si alikuwemo huyu ni kama malaya tu, alikuwa anabadilika badilika, alikuwa anamlia timing ya kumuua Julius. ili yeye kambona awe Rais. akajitorosha akidhani Nyerere hajui, alimuacha tu aende zake.

Azimio la Arusha lililoleta utaifishaji Mali za watu ni zile zile itakadi za chuki kwa matajiri kwa dhania umasikini wao uliletwa na matajiri wakati fursa zilikuwepo tele yeyeto tu angetaman kuwa tajiri angekuwa.
 
Hizi hadhithi kwamba Kambarage alikuwa hajui Kiswahili huwa mnazitoa wapi? Hivi Ushamba wa Mwalimu ilikuwa ni mwaka gani?
BHATU BHA MARA HAWACHUI GHISWAHIRI, MURAAA JULIUS KARICHIFUNSA MUCHIN TAISARAMA.

ABHASARI KANGESARIWA MUSOMA MUCHINI KANGEJUAKO KIDOGO.

WEWE GO UKIZARIWA MUSOMA NI MUJANJA GO. SIYO BUTIAMA KWA WACHUNGA JING'A
 
Unajua kabla ya huyo mzanaki kupewa nchi kwa makaratasi kuna mwingine alikwenda kuomba hayo "makaratasi" akanyimwa?
Mbona hata yeye alikuwa anakili kuwa alikuwa hajui kiswahili vizuri? fuatilia hotuba zake
 
smaki ingawa huu si mjadala wa Mwalimu Kujua ama kutokujua Kiswahili lakini si kweli kwamba Mwalimu alikuwa hajui Kiswahili wakati akija Darisalama, bali inawezekana wakati akitoka Butiama kwenda shule ya Msingi Mwisenge ndiyo alikuwa hajui Kiswahili.

Tofautisha kati ya Lafudhi, lahaja na mtu kutokujua Lugha. Umewahi kukisikia Kiingereza cha Wanaijeria na wahindi. Utasema hawajui Kiingereza?
 
Back
Top Bottom