Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Sidhani kama kuna tatizo linalohusiana na watokako. Tatizo mmoja anataka kumuiga mwingine. Kama alikosea na yeye pia atakosea.
Soma history ya mkoloni kwann jamii zingine aliona ni hasara kuzipa elimu,jamii inayoamini matumizi ya nguvu kuliko akili aliitumia kwenye Kazi za mashambani na ukuli bandarini sasa usipojua history ukachanganya vitu hivi ni lzm yaharibike mambo.We uoni hio jamii si wazuri kwenye reasoning Bali kwenye nguvu.Uongozi ni hekima na busara ukitumia mechanical ni lzm GARI litafail tu.
 
Kaka umenikumbusha mbali sana 1983, babubyangu alikuwa na uwezo vijijini, basinkukiwa na MTU Mwenye mgonjwa watu wanakuja home kukopa fedha, kuomba sukari kwa ajikivya uji wa mgonjwa HD nikaamini uji+sukari ni Dawa. Siku ya noeli Misa ya USIKU anakuja KATEKISTA kuazima taa ili ikamulike KANISANI.
Ilipofika chrimas, babu akienda Mjini Songea akaja na kaptura ya shule Rangi ya kaki, wengine wakiita stapoti. Basi nikitinga church nimekaa MBELE kabisa, nikawa natokatoka Mara kwa Mara ili niwakoge wenzangu, nikifunika sana. Baada ya Misa nikawa na senti sumni(50) Ikiwa na pichurevya Sungura nilinunua vitu balaa kuanzia mishkaki ya kitimoto, mangatundu, ubende, bangia na maandazi, ila Nilikuta mchoyo sana. Shida ikaja January 1984 naenda kuandikishwa shule mkono ulikuwa mfupi nikashindwa andikishwa kwa kuwa sikushika sikio. Basi sale Zangu nitaendelea kushine siku za jumapili tu.
Sikujua SHIDA zile zilitokana na nini. 1985 baba akajanichukua ni kaanza shule town.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhahaaaaaa, eti MTU anatumbuliwa watu wanashangilia, then anasamehewa wanashangilia!! Hivyo yaani hatueleweki ( mazamwamwa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu sio uwanja wa majaribio, awamu ya kwanza na ya tano zote ni awamu za mapinduzi, lazima kuwepo maumivu.
Mapinduzi gani export ya. Bidhaa imeshuka 50% direct foreign Investment down. By 60% biashara zinafungwa haya ndio mapinduzi kwa uelewa wako
 
Ikulu sio uwanja wa majaribio, awamu ya kwanza na ya tano zote ni awamu za mapinduzi, lazima kuwepo maumivu.
Mapinduzi gani export ya. Bidhaa imeshuka 50% direct foreign Investment down. By 60% biashara zinafungwa haya ndio mapinduzi kwa uelewa wako
 
Ndio maana nakuambia hakuna kisishowezekana mkuu.
Huyu mtu asipodhibitiwa atatufikisha huko.
Yani njia anayopita jiwe Zimbabwe ilipita humohumo naomba mungu mwisho wa Safari tusifike ilikofika Zimbabwe
 

Siku zile mtu akitoka Burundi tuu, alikuwa anaonekana kama ametoka marekani kwa sasa. Zanzibar kulikuwa na maisha poa kabisa. Unguja ndiyo ilikuwa Dubai yetu.
 
Hao wenye uchumi mkubwa kwa sasa wanalia hali ngumu ya uchumi sembuse huku Africa.

US wanatarajia vifo laki mbili ndani ya mwezi mmoja ujao, ni shida za dunia nzima.

Biashara za kimataifa zimefungwa kila kona ya dunia.

Kama corona imekuja kiasili (nature) basi hatuna ujanja lakini kama imetengenezwa na watu fulani basi wakamatwe nawote wapigwe risasi.
 
Aisee. Hili wazo lipo sana kwenye vichwa cha waafrika, sijui ni kwa nini?
Mkuu haya matatizo yameua biashara kidunia, kama ni hujuma za watu ili wafanikiwe kiuchumi kama habari za chini ya kapeti zinavyosema basi hao wachache wapewe zawadi yao 'maalum'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…