Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Tatizo mkuu wa kaya mbishi mjuaji kila kitu yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna watu wanatamani eti turudi kwenye ujamaa. Vladimir Putin Mwenyewe na rafiki yake Xi Jin Ping Ujamaa walishautupilia mbali wamebakia na ukomunisti ili wautumie kugandamiza wengine wasipokwe madaraka kidemokrasia!!Ni makosa makubwa Sana kuwapa nchi watu wenye mawazo ya kijamaa sijui wenye exposure hatukuwaona.
Kaka tatizo elimu yetu hii ilijikita kwenye sera za ujamaa na haya ndio madhara yake ya kuwekana Kama utemi fulani kupangiana maisha uchumi kufuatiliana na kutopata nafasi ya kuwa exposure ya fursa mbali mbali ndio maana mpaka keo hii sisi bado ni maskini wa kutupwa nikipata muda mzuri nitakufafanulia kwa kina kwanini sisi sio sawa na Kenya ama South AfricaNi makosa makubwa Sana kuwapa nchi watu wenye mawazo ya kijamaa sijui wenye exposure hatukuwaona.
Palipo ujamaa kuna umasikini.Huwezitenganisha ujamaa na umasikiniKaka tatizo elimu yetu hii ilijikita kwenye sera za ujamaa na haya ndio madhara yake ya kuwekana Kama utemi fulani kupangiana maisha uchumi kufuatiliana na kutopata nafasi ya kuwa exposure ya fursa mbali mbali ndio maana mpaka keo hii sisi bado ni maskini wa kutupwa nikipata muda mzuri nitakufafanulia kwa kina kwanini sisi sio sawa na Kenya ama South Africa
Ndio maana ake kaka hii sera ilianzishwa na madictetor ili kudominat raia wake ki uchumi kiraia kielimu ili kusudi wapate nafasi ya kuwatala Kama watemi pasipo kuhojiwa wala kukosolewa lakini kadri muda unapo zidi kwenda mambo yana badilika uwelewa una kuaPalipo ujamaa kuna umasikini.Huwezitenganisha ujamaa na umasikini
Halafu wakaja na falsafa ya kuwaaminisha watawaliwa lawama ya kuwalaumu wazungu mabeberu kusingizia sijui ukoloni mamboleo juu ya kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo,mzigo wa lawama wanawatupia wazungu.Utadhani mabeberu ndio wanawaambia wawekeze kwenye White elephant project au wawashughulikie wapinzani badala ya kuushughulikia umasikini.Thus TISS za wenzetu ziko smart ni lzm wamchunguze mtu tangu alivozaliwa kuepusha mtu mwenye itikadi za kijamaa asipewe leseni ya udereva ili asiwaletee umasikini watu.Wajamaa wote ni lzm wawe na chuki na matajiri na wasomi na kwa mifumo yao mtawaliwa atakiwi awe maarufu au tajiri kuliko mtawala.So tunalimia meno kwa vitendo Kama ilivopaniwa na muhusikaNdio maana ake kaka hii sera ilianzishwa na madictetor ili kudominat raia wake ki uchumi kiraia kielimu ili kusudi wapate nafasi ya kuwatala Kama watemi pasipo kuhojiwa wala kukosolewa lakini kadri muda unapo zidi kwenda mambo yana badilika uwelewa una kua
Halafu wakaja na falsafa ya kuwaaminisha watawaliwa lawama ya kuwalaumu wazungu mabeberu kusingizia sijui ukoloni mamboleo juu ya kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo,mzigo wa lawama wanawatupia wazungu.Utadhani mabeberu ndio wanawaambia wawekeze kwenye White elephant project au wawashughulikie wapinzani badala ya kuushughulikia umasikini.Thus TISS za wenzetu ziko smart ni lzm wamchunguze mtu tangu alivozaliwa kuepusha mtu mwenye itikadi za kijamaa asipewe leseni ya udereva ili asiwaletee umasikini watu.Wajamaa wote ni lzm wawe na chuki na matajiri na wasomi na kwa mifumo yao mtawaliwa atakiwi awe maarufu au tajiri kuliko mtawala.So tunalimia meno kwa vitendo Kama ilivopaniwa na muhusikaNdio maana ake kaka hii sera ilianzishwa na madictetor ili kudominat raia wake ki uchumi kiraia kielimu ili kusudi wapate nafasi ya kuwatala Kama watemi pasipo kuhojiwa wala kukosolewa lakini kadri muda unapo zidi kwenda mambo yana badilika uwelewa una kua
Magufuli anapaswa kuambiwa kwa uwazi kuchunga ulimi wake usio kuwa wa kidiplomasia. Atarudisha taifa nyuma kwa speed ya mwanga. Na ajue yaliyoligharimu taifa la Zimbabwe ndio nayaona maana hata Comred Mgabe alikuwa na kauli mbaya kuwaelekea watawala wa dunia na mwisho wake sote tunaujua jamani. Mfungeni break mapema mzee asije ligharimu taifa letu.Acheni masihara tuombe tu Mungu tusiingie kwenye huu mtego maana uchumi utarudi nyuma kwa speed ya light,, na kuja kuwa stable itatuchukua mda sana.
Mungu atuepushe tu na huu mtego wa hawa mabeberu,,
Lengo la kuwarudisha watu kwenye ujamaa ili iwe rahisi kuwashughulikia yaani kuwafanya wawe masikini ili watawaliwe.Na kuna watu wanatamani eti turudi kwenye ujamaa. Vladimir Putin Mwenyewe na rafiki yake Xi Jin Ping Ujamaa walishautupilia mbali wamebakia na ukomunisti ili wautumie kugandamiza wengine wasipokwe madaraka kidemokrasia!!
Hao wa kumwambia au kumfunga break ndio wanufaika wa uwepo wake.Hulka ya mtz anapofyonza huwa kipofu,ni Hadi mrija ukitumbuka ndio utu umjiaMagufuli anapaswa kuambiwa kwa uwazi kuchunga ulimi wake usio kuwa wa kidiplomasia. Atarudisha taifa nyuma kwa speed ya mwanga. Na ajue yaliyoligharimu taifa la Zimbabwe ndio nayaona maana hata Comred Mgabe alikuwa na kauli mbaya kuwaelekea watawala wa dunia na mwisho wake sote tunaujua jamani. Mfungeni break mapema mzee asije ligharimu taifa letu.
Halafu mtu kama huyo anapewa Urais kweli kisha watu wanashangilia eti Tumepata mtetezi wa wanyonge,bila kuwasahau viongozi wa dini,eti huyu ni chaguo la Mungu .
Tanzania ina laana kubwa mno
Sababu ya makosa yetu tulionywa hatukusikia
Kabisa bila ubishi na ndio maana mataifa Kama ujerumani wamejitenga ikiwa mmoja ya sababu hiiHalafu wakaja na falsafa ya kuwaaminisha watawaliwa lawama ya kuwalaumu wazungu mabeberu kusingizia sijui ukoloni mamboleo juu ya kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo,mzigo wa lawama wanawatupia wazungu.Utadhani mabeberu ndio wanawaambia wawekeze kwenye White elephant project au wawashughulikie wapinzani badala ya kuushughulikia umasikini.Thus TISS za wenzetu ziko smart ni lzm wamchunguze mtu tangu alivozaliwa kuepusha mtu mwenye itikadi za kijamaa asipewe leseni ya udereva ili asiwaletee umasikini watu.Wajamaa wote ni lzm wawe na chuki na matajiri na wasomi na kwa mifumo yao mtawaliwa atakiwi awe maarufu au tajiri kuliko mtawala.So tunalimia meno kwa vitendo Kama ilivopaniwa na muhusika
Dah
kama alivyosema mdau mmoja hapo juu kuwa Wananchi walikuwa wavumilivu sana kipindi hicho
Sema walikuwa kondoo sana.
Na kwa kiasi kikubwa wala hawajabadilika.
Ingawa watakuambia eti
“wananchi”wa leo sio wa jana!
Usihangaike na watoto waliozaliwa enzi ya simu za kupangusa kwa vidole. Wao wanafikiri kila kitu ni kuteleza tu.Wakati haya yanatokea wapinzani uchwara ndiyo walikuwa wanaongoza nchi?
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Wakati ule tulikuwa wavumilivu sana. Siwezi kusema kuwa kulikuwa na uzalendo, ila uvumilivu tu. Je uvumilivu ulileta faida kwa nchi au hasara? Je wakati huu wa sayansi na teknolojia iliokomaa uvumilivu utatamalaki bado? Nchi inahitaji kwenda na dunia ki maendeleo. Enzi za foleni ya shirika la Ugawaji halina nafasi. Badala ya kufanya kazi wananchi including watoto walishinda kusubiri unga, sukari, mafuta nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani period yako unamaliza lini?Mwambie sasa Tundu Lisu aache ujinga anaoufanya kama kweli unamaanisha na hutak turud huko.