Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Ni makosa makubwa Sana kuwapa nchi watu wenye mawazo ya kijamaa sijui wenye exposure hatukuwaona.
Na kuna watu wanatamani eti turudi kwenye ujamaa. Vladimir Putin Mwenyewe na rafiki yake Xi Jin Ping Ujamaa walishautupilia mbali wamebakia na ukomunisti ili wautumie kugandamiza wengine wasipokwe madaraka kidemokrasia!!
 
Kaka tatizo elimu yetu hii ilijikita kwenye sera za ujamaa na haya ndio madhara yake ya kuwekana Kama utemi fulani kupangiana maisha uchumi kufuatiliana na kutopata nafasi ya kuwa exposure ya fursa mbali mbali ndio maana mpaka keo hii sisi bado ni maskini wa kutupwa nikipata muda mzuri nitakufafanulia kwa kina kwanini sisi sio sawa na Kenya ama South Africa
 
Palipo ujamaa kuna umasikini.Huwezitenganisha ujamaa na umasikini
 
Ndio maana ake kaka hii sera ilianzishwa na madictetor ili kudominat raia wake ki uchumi kiraia kielimu ili kusudi wapate nafasi ya kuwatala Kama watemi pasipo kuhojiwa wala kukosolewa lakini kadri muda unapo zidi kwenda mambo yana badilika uwelewa una kua
 
Halafu wakaja na falsafa ya kuwaaminisha watawaliwa lawama ya kuwalaumu wazungu mabeberu kusingizia sijui ukoloni mamboleo juu ya kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo,mzigo wa lawama wanawatupia wazungu.Utadhani mabeberu ndio wanawaambia wawekeze kwenye White elephant project au wawashughulikie wapinzani badala ya kuushughulikia umasikini.Thus TISS za wenzetu ziko smart ni lzm wamchunguze mtu tangu alivozaliwa kuepusha mtu mwenye itikadi za kijamaa asipewe leseni ya udereva ili asiwaletee umasikini watu.Wajamaa wote ni lzm wawe na chuki na matajiri na wasomi na kwa mifumo yao mtawaliwa atakiwi awe maarufu au tajiri kuliko mtawala.So tunalimia meno kwa vitendo Kama ilivopaniwa na muhusika
 
Acheni masihara tuombe tu Mungu tusiingie kwenye huu mtego maana uchumi utarudi nyuma kwa speed ya light,, na kuja kuwa stable itatuchukua mda sana.

Mungu atuepushe tu na huu mtego wa hawa mabeberu,,
Magufuli anapaswa kuambiwa kwa uwazi kuchunga ulimi wake usio kuwa wa kidiplomasia. Atarudisha taifa nyuma kwa speed ya mwanga. Na ajue yaliyoligharimu taifa la Zimbabwe ndio nayaona maana hata Comred Mgabe alikuwa na kauli mbaya kuwaelekea watawala wa dunia na mwisho wake sote tunaujua jamani. Mfungeni break mapema mzee asije ligharimu taifa letu.
 
Na kuna watu wanatamani eti turudi kwenye ujamaa. Vladimir Putin Mwenyewe na rafiki yake Xi Jin Ping Ujamaa walishautupilia mbali wamebakia na ukomunisti ili wautumie kugandamiza wengine wasipokwe madaraka kidemokrasia!!
Lengo la kuwarudisha watu kwenye ujamaa ili iwe rahisi kuwashughulikia yaani kuwafanya wawe masikini ili watawaliwe.
Kwenye mfumo wa ujamaa huwezi pata viongozi Bali unapata watawala Sasa mtawala hawezi leta maendeleo.Mtawala ni sawa na mkoloni uwafanya watu wawe masikini kimakusudi inaitwa kuwanyoosha au kuwasomesha namba lengo kuu wawe masikini ili awatawale.Kutawala ni kumiliki wananchi sawa na kumiliki mifugo yaani wafate mtawala atakacho atakaepinga au hoji adhabu yake ni risasi,kesi ya uhujumu uchumi kwann kesi ya uhujumu uchumi ili usipate nafasi ya kujitetea lengo ukae ndani Hadi mda mtawala atakapoona yafaa Kama ni miaka 5 au 9 sawa tu lengo kuu ni kukudhoofisha kifikra au kiuchumi yaani ufilisike kwanza uwe masikini ndipo uachiwe.Kwenye ujamaa Hakuna Utawala wa sheria.Amri, maagizo ya mtawala ndio sheria.
Kama tusipobadili mifumo mibovu ya kiuongozi ni ngumu Sana kusimama.
Huwezi ukampa mwafrika Kinga ya kutoshtakiwa halafu utegemee maendeleo.Kinga ya kutokustakiwa ile ni ruhusa ya kufanya maovu yeyeto kadri mtawala aonavo apendavo iwe ni matumizi mabaya ya Kodi, madaraka,kuvunja katiba,kuuwa,kuleta umasikini,kuuwa uchumi,kugeuza kwao sawa na Dubai sawa huruhusiwi kuhoji Wala kupinga.
 
Magufuli anapaswa kuambiwa kwa uwazi kuchunga ulimi wake usio kuwa wa kidiplomasia. Atarudisha taifa nyuma kwa speed ya mwanga. Na ajue yaliyoligharimu taifa la Zimbabwe ndio nayaona maana hata Comred Mgabe alikuwa na kauli mbaya kuwaelekea watawala wa dunia na mwisho wake sote tunaujua jamani. Mfungeni break mapema mzee asije ligharimu taifa letu.
Hao wa kumwambia au kumfunga break ndio wanufaika wa uwepo wake.Hulka ya mtz anapofyonza huwa kipofu,ni Hadi mrija ukitumbuka ndio utu umjia
 
Ni kweli mkuu, viongozi wamejaa udikteta. Angalia Mbowe amefukuza wabunge, bila ya wabunge kusikilizwa. Where is democracy? Hajui principle of natural Justice? Nchi ina laana. I second you
Halafu mtu kama huyo anapewa Urais kweli kisha watu wanashangilia eti Tumepata mtetezi wa wanyonge,bila kuwasahau viongozi wa dini,eti huyu ni chaguo la Mungu .
Tanzania ina laana kubwa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wakaja na falsafa ya kuwaaminisha watawaliwa lawama ya kuwalaumu wazungu mabeberu kusingizia sijui ukoloni mamboleo juu ya kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo,mzigo wa lawama wanawatupia wazungu.Utadhani mabeberu ndio wanawaambia wawekeze kwenye White elephant project au wawashughulikie wapinzani badala ya kuushughulikia umasikini.Thus TISS za wenzetu ziko smart ni lzm wamchunguze mtu tangu alivozaliwa kuepusha mtu mwenye itikadi za kijamaa asipewe leseni ya udereva ili asiwaletee umasikini watu.Wajamaa wote ni lzm wawe na chuki na matajiri na wasomi na kwa mifumo yao mtawaliwa atakiwi awe maarufu au tajiri kuliko mtawala.So tunalimia meno kwa vitendo Kama ilivopaniwa na muhusika
Kabisa bila ubishi na ndio maana mataifa Kama ujerumani wamejitenga ikiwa mmoja ya sababu hii
 
Huwezi ukampa mwafrika Kinga ya kutoshtakiwa Kisha utegemee maendeleo
 
Dah

kama alivyosema mdau mmoja hapo juu kuwa Wananchi walikuwa wavumilivu sana kipindi hicho

Sema walikuwa kondoo sana.

Na kwa kiasi kikubwa wala hawajabadilika.

Ingawa watakuambia eti
“wananchi”wa leo sio wa jana!
 
Wakati haya yanatokea wapinzani uchwara ndiyo walikuwa wanaongoza nchi?
Usihangaike na watoto waliozaliwa enzi ya simu za kupangusa kwa vidole. Wao wanafikiri kila kitu ni kuteleza tu.

Akiweka earphone masikioni na kusikiliza akina diamond anajiona ktk viwango vyao! Kumbe la hasha
 
Baada ya ugawaji ndio ikaja hii NMC. daah bimkubwa kwetu alijuwa anauza mchele na sukari tunaweka sukari/mchele kwenye ungo vipunje vichache na kikombe.

Hapo wadau wanajua nyumba hii mzigo upo.
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Wakati ule tulikuwa wavumilivu sana. Siwezi kusema kuwa kulikuwa na uzalendo, ila uvumilivu tu. Je uvumilivu ulileta faida kwa nchi au hasara? Je wakati huu wa sayansi na teknolojia iliokomaa uvumilivu utatamalaki bado? Nchi inahitaji kwenda na dunia ki maendeleo. Enzi za foleni ya shirika la Ugawaji halina nafasi. Badala ya kufanya kazi wananchi including watoto walishinda kusubiri unga, sukari, mafuta nk.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom