China yupo tutatoka tu.
Wakati haya yanatokea wapinzani uchwara ndiyo walikuwa wanaongoza nchi?
Kama jua limechomoza lakini wewe kwa ujinga wako ukaamua kufumba macho haimaanishi kwamba Jua halitaonekana kwa wengine.
Bundi, Paka na Nyoka ndiyo huona usiku lakini siyo binadamu!!Tusilazimishane kufikiri kwa namna moja.
Wengine mpaka usiku wanaona, sio wapumbavu kama wewe.
Du kumbe na China naye ni miyeyusho tu.Hata Mugabe alikimbilia China yy ameishia wapi.
Kwa ujumla Zimbabwe nimekaa miaka 1995 ilikuwa ni Nchi ya mfano nenda leo nchi ambayo ilikuwa inatuletea misaada ya vyakula kama mahindi yaani kwa wale waliokula Ugali wa unga wa njano hili wanalijua Zimbabwa walianza kuleta misaada na kutusaidia mbegu za mahindi kutoka Zimbabwa.
Kwa hiyo china unayoisemea hakuna kitu zaidi kulimbikiza madeni zaidi
Du!, kumbe na mchina naye ni miyeyusho tu.Hata Mugabe alikimbilia China yy ameishia wapi.
Kwa ujumla Zimbabwe nimekaa miaka 1995 ilikuwa ni Nchi ya mfano nenda leo nchi ambayo ilikuwa inatuletea misaada ya vyakula kama mahindi yaani kwa wale waliokula Ugali wa unga wa njano hili wanalijua Zimbabwa walianza kuleta misaada na kutusaidia mbegu za mahindi kutoka Zimbabwa.
Kwa hiyo china unayoisemea hakuna kitu zaidi kulimbikiza madeni zaidi
Ndio maana nikakwambia usikariri.Bundi, Paka na Nyoka ndiyo huona usiku lakini siyo binadamu!!
Nimekariri nini sasa?Ndio maana nikakwambia usikariri.
Halafu mtu kama huyo anapewa Urais kweli kisha watu wanashangilia eti Tumepata mtetezi wa wanyonge,bila kuwasahau viongozi wa dini,eti huyu ni chaguo la Mungu ." NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO "
" NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO "
[/QUOTEN
Kauli kama hizi ndo zilimwangusha Odinga,uzuri wakenya walishajifunza kwetu.Wangekuwa wakilimia meno sasa hii
Na ndo tunaelekea huko sasa ,mkiandamana mtaenda kuwasimulia IMF na World Bank wanaowatuma mseme uchumi mbaya wakati uchumi ni mzuri mno hao wanaona wivu tu....Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Wakati ule tulikuwa wavumilivu sana. Siwezi kusema kuwa kulikuwa na uzalendo, ila uvumilivu tu. Je uvumilivu ulileta faida kwa nchi au hasara? Je wakati huu wa sayansi na teknolojia iliokomaa uvumilivu utatamalaki bado? Nchi inahitaji kwenda na dunia ki maendeleo. Enzi za foleni ya shirika la Ugawaji halina nafasi. Badala ya kufanya kazi wananchi including watoto walishinda kusubiri unga, sukari, mafuta nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Technology haikuwa nzuri,
HAITA JIRUDIA
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Wakati ule tulikuwa wavumilivu sana. Siwezi kusema kuwa kulikuwa na uzalendo, ila uvumilivu tu. Je uvumilivu ulileta faida kwa nchi au hasara? Je wakati huu wa sayansi na teknolojia iliokomaa uvumilivu utatamalaki bado? Nchi inahitaji kwenda na dunia ki maendeleo. Enzi za foleni ya shirika la Ugawaji halina nafasi. Badala ya kufanya kazi wananchi including watoto walishinda kusubiri unga, sukari, mafuta nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo kama Mtwara kina mama walikuwa wanaona Kaniki ni bonge la nguo maana wengi wao walivaa magunia.Naona zama zinajirudia ila Mungu tu Mwema atotuacha yatima tena.
Wewe hujitambui ni bora ungekaa kimya tu ukaficha upumbavu wako,mada imeandikwa na mtu mwenye akili nyingi halafu mbumbumbu kama wewe unarukia kuchangia.Tusilazimishane kufikiri kwa namna moja.
Wengine mpaka usiku wanaona, sio wapumbavu kama wewe.
Nadhani siku ule moto wa kuzimu ukiwekwa makumbusho na tutakapoacha tumia alama ya twiga ( upole conspiracy) na kuacha kula ugali wa mahindi ( chakula cha ng'ombe) ndio tutakuwa na akili.Watu wamekufa akili thus ni mtaji kwa wachumia tumbo. MTU anatumbuliwa wakashangilia baada ya dakika moja anasamehewa wakashangilia tena,je utasema hawa watu wanakili.Halafu mtu kama huyo anapewa Urais kweli kisha watu wanashangilia eti Tumepata mtetezi wa wanyonge,bila kuwasahau viongozi wa dini,eti huyu ni chaguo la Mungu .
Tanzania ina laana kubwa mno
Tatizo una changanya Mambo,technology haikuwa nzuri wapi?
kenya walikuwa na technology gani hadi wasipate shida zile?
Kubalini kuwa ule ujamaa ndio ulipelekea kuwepo kwa shida zile, we mtu raia haruhusiwi kumiliki TV. nasikia mpaka wakati mwingine kumiliki redio ilikuwa mushkeli. Watu wengine mpaka walitupa magunia ya hela porini n.k, teknolojia inaingiaje hapo kama sababu?