Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Tatizo una changanya Mambo,
1.Nyakayi i.e. kipindi cha kutupa hela na kumiliki Mali e.g. TV

2.UJAMAA na MASHARTI YA MABEBERU, hata sasa wanataka USE SHOGA, je utakubali??? wana gawa kondomu, ili hali, nyenzo za umiliki Mali wana zishikiria, UNAPEWA ELIMU YA MATUMIZI na sio MATENGENEZO, e.g. simu, laptop n.k

n.b. JAMBO USILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA, usimlaumu mwl, sema tu ALI SAILTIWA.....

Nani alimsaliliti?

Kupora mali za watu kwenye ule ujamaa na badala yake kuwapa watu mafisadi wasimamie viwanda na mashirika yale aliyopora kwenye azimio la Arusha anakuwa alisalitiwa au alijisaliti mwenyewe?
 
Acheni masihara tuombe tu Mungu tusiingie kwenye huu mtego maana uchumi utarudi nyuma kwa speed ya light,, na kuja kuwa stable itatuchukua mda sana.

Mungu atuepushe tu na huu mtego wa hawa mabeberu,,
Utakua unamkosea Mungu wako kumuhusisha na mataizo yanayotokana na ushamba ulimbukeni wa ungozi
 
Nadhani siku ule moto wa kuzimu ukiwekwa makumbusho na tutakapoacha tumia alama ya twiga ( upole conspiracy) na kuacha kula ugali wa mahindi ( chakula cha ng'ombe) ndio tutakuwa na akili.Watu wamekufa akili thus ni mtaji kwa wachumia tumbo. MTU anatumbuliwa wakashangilia baada ya dakika moja anasamehewa wakashangilia tena,je utasema hawa watu wanakili.
Duh...! Watu 16,000 wamefukuzwa kazi serikalini na kunyimwa mafao yao,watu wakashangilia,mzunguko wa pesa umekufa ,watu wakashangilia ,sasa watanzania ni watu au mazombii?
 
Nani alimsaliliti?

Kupora mali za watu kwenye ule ujamaa na badala yake kuwapa watu mafisadi wasimamie viwanda na mashirika yale aliyopora kwenye azimio la Arusha anakuwa alisalitiwa au alijisaliti mwenyewe?
Nina mashaka na UMRI wako, na jinsi ulivyo hadithiwa,
HISTORIA MASHULENI HAWA WAALIMU WANA POTOSHA WATOTO WETU,

ndio maana naanza kuona sasa VIJANA wanakosa UZALENDO.
 
Tatizo una changanya Mambo,
1.Nyakayi i.e. kipindi cha kutupa hela na kumiliki Mali e.g. TV

2.UJAMAA na MASHARTI YA MABEBERU, hata sasa wanataka USE SHOGA, je utakubali??? wana gawa kondomu, ili hali, nyenzo za umiliki Mali wana zishikiria, UNAPEWA ELIMU YA MATUMIZI na sio MATENGENEZO, e.g. simu, laptop n.k

n.b. JAMBO USILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA, usimlaumu mwl, sema tu ALI SAILTIWA.....
Huna unalojua wewe,endelea kula na kulala siku ziende
 
Enzi hizo Mabalozi na ofisi za CCM matawi na Kata ndizo zilikuwa kila kitu. Zilikuwa zinafanya kazi ya Polisi na mahakama. Mgambo walikuwa wanaheshimika na kuogopwa sana.
Balozi wa nyumba kumi alimwaga DNA’s mtaani kwa kuhonga khanga, vitenge , sukari na battery mche wa mbuni na gardenia.
 
Balozi wa nyumba kumi alimwaga DNA’s mtaani kwa kuhonga khanga, vitenge , sukari na battery
Afadhali mabalozi wa nyumba kumi, Mgambo walifanya kufuru sana. Kwetu kulikuwa na mmoja anaitwa "Mikonyezo" huyu alikuwa hatari ukichanganya alikuwa anamiliki Vespa "Batavuzi".
 
Hata Mugabe alikimbilia China yy ameishia wapi.
Kwa ujumla Zimbabwe nimekaa miaka 1995 ilikuwa ni Nchi ya mfano nenda leo nchi ambayo ilikuwa inatuletea misaada ya vyakula kama mahindi yaani kwa wale waliokula Ugali wa unga wa njano hili wanalijua Zimbabwa walianza kuleta misaada na kutusaidia mbegu za mahindi kutoka Zimbabwa.
Kwa hiyo china unayoisemea hakuna kitu zaidi kulimbikiza madeni zaidi

Nmekumbuka mbali sana mbegu za mahindi zilikuwa zinaitwa Zimbabwe, kumbe zilikuwa zimetoka Zimbabwe, sijui kama bado zipo, nimeziona nineties, nilikuwa mdogo sana enz hizo..
 
Back
Top Bottom