Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Tatizo una changanya Mambo,
1.Nyakayi i.e. kipindi cha kutupa hela na kumiliki Mali e.g. TV
2.UJAMAA na MASHARTI YA MABEBERU, hata sasa wanataka USE SHOGA, je utakubali??? wana gawa kondomu, ili hali, nyenzo za umiliki Mali wana zishikiria, UNAPEWA ELIMU YA MATUMIZI na sio MATENGENEZO, e.g. simu, laptop n.k
n.b. JAMBO USILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA, usimlaumu mwl, sema tu ALI SAILTIWA.....
Nani alimsaliliti?
Kupora mali za watu kwenye ule ujamaa na badala yake kuwapa watu mafisadi wasimamie viwanda na mashirika yale aliyopora kwenye azimio la Arusha anakuwa alisalitiwa au alijisaliti mwenyewe?