Uelekeo tuliopo ni kama vile tunarejea kule hatua kwa hatua na baadhi ya Watanzania wanakenua meno, hawajui nchi ilikuwaje. Hawajui kuwa tulisoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo na Daily News tu, gazeti 'huru lilikuwa Mfanyakazi pekee, leo magazeti binafisi yanapanangiwa cha kuandika isipokuwa Tanzanite na Jamvi la Habari ambayo yanaruhusiwa kuwatukana wanaoitwa wapinzani mchana kweupe!
Vv
Vv
Kama enzi zile walivyokuwa wakitukanwa kina Kambona pekee.Uelekeo tuliopo ni kama vile tunarejea kule hatua kwa hatua na baadhi ya Watanzania wanakenua meno, hawajui nchi ilikuwaje. Hawajui kuwa tulisoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo na Daily News tu, gazeti 'huru lilikuwa Mfanyakazi pekee, leo magazeti binafisi yanapanangiwa cha kuandika isipokuwa Tanzanite na Jamvi la Habari ambayo yanaruhusiwa kuwatukana wanaoitwa wapinzani mchana kweupe!
Vv
Vv
Mkuu nimekuuliza kwa sababu nilikuwa nanunua unga naenda kupika ugari home,sasa nikataka kujua Kama hawali ugari ule unga kule supermarkets ni kwa ajiri ya nini?Ng'ombe anasongewa ugali
uzuri kaishajichanga, mapato mengi ya serikali sasa yanakusanywa kwa nguvu ya internet hivyo anashindwa kubonyeza kitufe cha kuzimishia internet, ila aki acquire technologia ya kuselect na kuthibi taarifa fulani fulani, atafanya sherehe siku hiyo, na yawezakuwa iko kwenye installation.Copy na paste sema tu wameshindwa dhibiti mitandao kama North Korea
Ujinga wake tu mkuuNchi zote ambazo marais wanaongozwa na EGO huishia kuumiza wananchi wake. Mimi huyu bwana huwa sielewi kinachomfanya avimbie wadau wakubwa huwa ni nini simuelewi, yaani ana ka immaturity fulani hivi ogopeshi sana.
Copy na paste sema tu wakati ukuta.Ukiwa bingwa wa kusifu na kuabudu au mdomo mchafu yaani kujitoa ufahamu kutukana upinzani ni CV tosha ya teuzi.Waafrica aliyetuloga kaffa atuchekani na mababu zetu akili za kuswagwa kama ng'ombe.Kama enzi zile walivyokuwa wakitukanwa kina Kambona pekee.
Kweli hakuna jipya juu ya uso wa dunia.
uzuri kaishajichanga, mapato mengi ya serikali sasa yanakusanywa kwa nguvu ya internet hivyo anashindwa kubonyeza kitufe cha kuzimishia internet, ila aki acquire technologia ya kuselect na kuthibi taarifa fulani fulani, atafanya sherehe siku hiyo, na yawezakuwa iko kwenye installation.
Hawaridhiki na ufukara, wanachokataa ni kujitajirisha kwa wizi. Unapotajirika kwa kuiba umewafukarisha wengine.hivi kwanini masikini wengi wameridhika na ufukara ?
Upo sahihi, lakini hawa tuliofikiri wangekuwa mbadala wamethibitisha kuwa wa hovyo zaidi kuliko CCM. Tufanyeje?!Hueleweki unapofanya jambo la nchi kama ni masuala ya kivyama. Nyie wenye "Credility" ndiyo kila siku mnakiri hadharani waliowatangulia walikosea kuongoza nchi.
Hii nchi haijawahi kuongozwa na chama kingine zaidi ya CCM kwa ivo madudu yote yanatokana na CCM kuwa madarakani. Chama kisicho na "Credibility" ndiyo mnalazimisha washushe bendera zao kwa lazima?
Kadangwa na kabudi eti ni mmbobezi wa sheria za kimataifa na kumfanya kuwa the chief negotiator. hahahhahahah una negotiate kwa kutumia sheria,
Akajifunze kwa President Trump & President xi, wote wameweka sheria pembeni.
Sasa sekta ya madini kaiua, uwekezajia sekta ya nishati (umeme kaua) anajifanya kujitutumia na kujenga bwawa mto rufiji eti kwa hela zake mwenyewe, mabwawa siku hizi wanajenga wachina nao kaisha watibua, Alianzia kwenye kilimo cha mbaazi akaharibu, akaenda kwenye korosho kaharibu, bila kujua yeye ndio tatizo fedha za kigeni haziingi nchini kaingilia mfumo wa biashara za fedha fedha, kote huko anadhurumu watu, sasa kaingilia sekta ya mawasiliano, akiivuruga na hii atajuta hamna rangi ataacha kuona
Ndio maana nakuambia hakuna kisishowezekana mkuu.
Huyu mtu asipodhibitiwa atatufikisha huko.
Mkuu nimekuuliza kwa sababu nilikuwa nanunua unga naenda kupika ugari home,sasa nikataka kujua Kama hawali ugari ule unga kule supermarkets ni kwa ajiri ya nini?
Mkuu nimekuuliza kwa sababu nilikuwa nanunua unga naenda kupika ugari home,sasa nikataka kujua Kama hawali ugari ule unga kule supermarkets ni kwa ajiri ya nini?
Dah!" Nkiwa Rais mtalimia meno "