Uelekeo tuliopo ni kama vile tunarejea kule hatua kwa hatua na baadhi ya Watanzania wanakenua meno, hawajui nchi ilikuwaje. Hawajui kuwa tulisoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo na Daily News tu, gazeti 'huru lilikuwa Mfanyakazi pekee, leo magazeti binafisi yanapanangiwa cha kuandika isipokuwa Tanzanite na Jamvi la Habari ambayo yanaruhusiwa kuwatukana wanaoitwa wapinzani mchana kweupe!
Vv
Vv
Copy na paste sema tu wameshindwa dhibiti mitandao kama North Korea