Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Daaah! weee! mkuu, imenifurahisha sana naona wataka jua kitu wewe;
Sikia bwana kuba Uhuru bila nidhamu ni wendawazimu, hiari yashinda utumwa. na ujamaa haumnyimi mtu fursa zipo mnashindwa kuuelewa sababu ufahamu uko ki Magharibi zaidi,

Propaganda za magharibi zimesimama kwenye uongo, ni ma -x part wa propaganda wale thubutu; hakuna tajiri anayetaka maskini atoke, zaidi ya wao matajiri. sana watampa mahitaji muhimu mazuri tu kama afya na nyumba nzuri za kuishi ili watu wengine kama wewe wautamani Ubepari.
wanatawala kwa kutumia njia kuu tatu;
1) Synthesis.
2) Antisynthesis.
3) Solutions.
Hii ina maana wanaitisha jamii tawaliwa, then wanapinga vitisho hivyo kwa nguvu zote, na watu wameajiliwa kufanya kazi hiyo kwa hela nyingi ndo unao waona leo ni matajiri, hasa hasa Medias,Km TV, Magazeti etc
Baadaye wana tafuta suluhisho, wanajitokeza Watoto wa Mabepari damudamu, wakitumia hizo hela za wa Africa kujifanya wanatetea jamii tawaliwa. mfano WTC ilivo shambuliwa .mchezo unaofanywa Middle East, Lockerbie bombing

Siyo hayo tu sponsors wote wa skirmish war Duniani ni Mabepari, ambao leo unaamini wana uhuru wa kufanya unachotaka. wewe una dhani AL-shabab, Boko haram,ISIS, wanapata wapi silaha, chakula, mishahara,Usafiri. Jibu ni hela za mabepari hizo ndo mungu wako alivo taka uko sahihi kabisa,ndivo alivyo watuma. Lakini siyo Mungu wetu wa ujamaa sawa?

Lengo ni kuimarisha ngome yao ya Magharibi hata ukitaka leo unakuwa tajiri tu.kupitia mgongo wao ila mwisho wako hautakuwa mzuri.si unaona Gaddafi alivo busiana na jack shirack, lakini Gaddafi yuko wapi leo;
Sera zao ziko wazi hawana rafiki wa kudumu, wao ni wao tu. ni wamoja kwisha. wako juu ya sheria mtoto wa kiume wa Thatcher Michael,alikamatwa kwa uharifu Equatorial Guinea, mbona aliachiwa tu. ma Rais wa nchi zote wanawekwa na wao, hivyo vimadini vyenu wanachimba wao,watawapa hela wanayo taka, hamtafurukuta, ebu fikiria stone kaishia kimya kimya na makanikia yake,(alikuwa hajui), maskini, na ni familia hizo za kibepari zina tawala Dunia yoote.isipokuwa nchi za kijamaa.
na huyo mungu wenu wa kibepari mashoga,sagaji,good time rukhsa, pesa iko mtapewa. uhuru wa Dume kutoa nyaa! Jamani wana JF kweli haki? dada zetu wakose mambo? nchi za kijamaa umewahi sikia haya?

Amini usiamini ni familia ishirini tu ndo unadhani ni mabepari wa Magharibi, hivo wanainua mtu mmoja mmoja sana, tena kwa kiwango fulani baaadaye anarudi chini chini kabisa. hata.... U-rais utapata. lakini?.watakuomba mambo...........wakikupenda sana. wale usijiulize maswali anza kulia na uomboleze na familia yako..
Mimi sina shida na ujamaa shida ni pale Viongozi wawatakao wanaowatawala wawe wajamaa hali wao wakiishi kibepari usawa Uko wapi mfano Kim anamiliki u tajiri na Mali ( ubepari) hali anaowatawala ni mafukara ataki wamiliki mali, Africa IPO yeyeto anayegoma kuisoma no ni lzm afilisiwe mifano mingi hata hapa.Kanuni ya upataji usema hivi ukitaka kupata zaidi wainue wakuzungukao kadri wapandavo we we utapata zaidi kwa kuwageuza wao soko yaani kuwaongezea uwezo wa kununua mahitaji yao.Hakuna wivu kwenye kupata labda tu kwenye jamii ya kishenzi maana kila apatae atapata kwa njia yake maana njia ni nyingi kuliko watu watafutao njia.Wengine watauza vyakula, Kilimo,usafirishaji,michezo,sanaa, music nk.Me napinga nadharia ya kuzuia watu kupata kadri ya matakwa yao ( kusomeshwa no) hizi ni nadharia za kidikteta kuwafanya watu kuwa masikini ( mashetani) ili uwatawale,uwanunue uwatakao kwa makubaliano ya kutii utakalo hata kama watadhalilika.Thus huwezi tenganisha ujamaa na udikteta,udikteta na ufukara ni pacha.Upebari uendana na demokrasia, na demokrasia uendana na ustawi wa watu.Ujamaa unakazia kutawala watu na ubepari ukazia kutawala uchumi. Njia za uchumi zikiwa huru watu wataiona fursa watawekeza zaidi ( fear of future) wengi watapata Kazi,serikali itapata kodi zaidi,mifuko ya hifadhi ya jamii,TRA,na mamlaka zote zitapata pesa zaidi tokana na kodi na Tozo mbali mbali.Serikali ikiwa na kodi ya kutosha itaachana kutegemea machinga na matrafiki kama vyanzo vya kukamua watu,hii itaondoa watu kuichukia serikali sababu inapesa za kuwahudumia kwenye elimu,afya,miundombinu,ulinzi,nk.
 
Ujamaa umetusaidia nn,mbona tumeshindwa na kurudi kule kule kuwarejeshea tena.Tafuta historia ya kweli acha hii ya darasani iliyochakachuliwa, linganisha South Africa ya kaburu na ya waswahili.Huna Uhuru gani zaidi ya kupandisha na kushusha bendera bendera,hao Viongozi walioleta ujamaa je washawahi pigia mkaa mswaki?,washawahi shonea viraka?,kosa bidhaa? Sukari na sabuni? Washawahi panga foleni kusubiri bidhaa maduka ya ushirika? Mwafrica ana Uhuru gani? Vita vya ukombozi ilikuwa ni hadaaa ya wajanja wachache kuwadanganya wengi ili wapate sapoti ya kuwatoa weupe kisha wakakalia nafasi hizo na kujigeuza wakoloni weusi hata sasa kwa kuwatendea madhila maovu makubwa waafrica wenzao zaidi hata waliyoyafanya wakoloni weupe,kwa kuwaua,kuwafukarisha,kuwaibia waafrica na kwenda kuficha ulaya,Maisha ya waafrica yamekuwa ya hovyo sana baada ya Uhuru. Tumeshindwa kila kitu kuanzia uchumi, demokrasia, Amani,ustaarabu na kila kitu,viwanda, Mashamba,migodi miradi tumeua iliyokuwa ikiajiri mamilioni ya waafrica.
Heee! shekhe Elimu chakachua ndo gani au jibu rahisi kwa hoja ngumu, Madrassa? au RC ,pole km ulipata chakachua, siyo lazima wawe bright wote,

Ewaaaa! sasa naona unaanza kunielewa somo lime fanikiwa kupigia mkaa au jivu ndo zetu hiyo si uchaguzi.tu tena na mswaki wa JITI kabisa nalo hapa nyumbani kwangu.
shekhe wewe wapigia nini swaki la kizungu nakushauri tu urudi Eden, Dr ndodi anavyovitabu kanunue.

Mlikataa mambo mazuri ya Nyerere lazima mkome, Ile Dhambi inawatafuna sasa, Mungu nisamehe,mnastahili, tena sasa hata familia zinahamia Ulaya ili mfe kabisaa na vinyongo, make hamna shukrani.atakuja mmojammoja humu kulia lia
Hela itarudi kule kule sababu mmekataa ujamaa. Tiba bure,Shule bure,Usafiri bure, JKTbure.Burga bure.Nyumba bure.
Waogopa viraka?si fashion hiyo au? yaani hata fashion mlichukia? jeans ni viraka vitupu siku hizi,tena afadhali viraka, zimetoboka kabisaa, magoti mapaja njenje.

Jamaa yangu yeye alijionea, ujinga huu, haya majitu,hayaelewi akaenda zake Ulaya akatawala nchi, akiwa ulaya. miaka mitano mingine mkampa. mkadhani atatulia? kaenda zake kula bata. mkampa majina meengi, mara oooh! huyu bana dhaifu na nini liu!
Vumilieni. na bado, wewe mtu anakwambia kabisaa mtaisoma number mnampa kura. hivi huoni hiyo ni laana ya kupinga ujamaa
Basi tubuni hamtaki tuwafanyeje sasa.
Minyororo ya utumwa mmejifunga wenyewe,Mabepari mkitaka waweza waosheni familia zenu bongo nzima,nini sukari sijui unga ili mradi tu muwape mkoa mmoja.
USHAURI''
Tubuni kwa Mungu wa kweli, mfunge na kuomba seriously, ka stone nimeanza kukapenda sasa kanamjua Mungu sana kajamaa,haka nisamehe stone sikujua
 
Tulikula ugali wa Yanga na dagaa kwa sana! At least hilo bado lipo kichwani mwangu. Na kupanga foleni kwa mawe maana unaweza simama mpaka miguu ikaingia tumboni!
 
Mwaka 2005 niliwahi kupita Nairobi Airport, nilimwaga machozi baada kuifananisha na Airport yetu.
Sisi saizi yetu imaendeleo ni Uganda na Malawi.
Aiseee, ninakusikitikia sana mjukuu wa mwendesha ambulance. Yaani mwelekeo wako wa maendeleo ni uleule unaoendana na ambulance? Hivi labda kuna 'genes' umerithi kuwa na mwelekeo wa aina hiyo!

Ulifika Makueni au Kitui katika safari yako hiyo ukajionea jinsi wananchi wa huko walivyokuwa wameendelea kuwazidi hawa wa kwetu walioko Songwe, au Ujiji? Ulifika pale kwa Raila rafiki yetu Nyanza au kule Western Busia, Bungoma; ulifika Baringo?
Zote hizo nilizozitaja zina nafuu sana kwa sababu hukubahatika kufika Turkana, Isiolo, Marsabit na kwingi kwingineko.

Safari nyingine utakayofunga kwenda huko hakikisha hukosi kufika Kilifi, na hata hapo jirani yetu tu pale Kwale.

Kwa maksudi mazima sijataja eneo lolote la "Central"; lakini kama utakuwa na mda wa kutosha kutembelea huko pia, maeneo ya Nyeri, Kirinyaga, Kiambu, Mrang'a n.k., usikose kuona kwamba hayakutofautiana sana na baadhi ya maeneo yetu kama Kilimanjaro, Mbeya, na kwingineko, ingawaje kwetu hutawakuta 'squatters' ambao maisha yao hutegemea wenye ardhi; walima michai, kahawa n.k.

Sasa nimetambua vizuri ninayebadilishana nae mawazo humu.

Nina hakika tunatofautiana sana kwenye maana ya nchi kuwa na maendeleo. Nadhani hili tumelimaliza. Sidhani kuwa tunaweza tukalichambua zaidi ya hapa tulipofikia.

Lakini usinielewe kuwa vitu hivyo ulivyoona Nairobi na kukuliza kuwa hata mimi sivipendi, la hasha, navipenda sana; lakini roho yangu inasudhika vizuri sana nikifika pale Kwehungulu, Lushoto na kukuta maisha ya wananchi wetu ni ya kuridhisha, hata kama inabidi tugawane hicho kidogo kilichopo kienee sehemu mbalimbali nchini mwetu.

Mwishowe tukiendeleza juhudi zetu mbalimbali, na kila mmoja wetu afanye majukumu aliyonayo ya kujikwamua, nina hakika hata sisi hivyo vilivyokutoa machozi vitapatikana, tena haraka sana.
 
Mimi sina shida na ujamaa shida ni pale Viongozi wawatakao wanaowatawala wawe wajamaa hali wao wakiishi kibepari usawa Uko wapi mfano Kim anamiliki u tajiri na Mali ( ubepari) hali anaowatawala ni mafukara ataki wamiliki mali, Africa IPO yeyeto anayegoma kuisoma no ni lzm afilisiwe mifano mingi hata hapa.Kanuni ya upataji usema hivi ukitaka kupata zaidi wainue wakuzungukao kadri wapandavo we we utapata zaidi kwa kuwageuza wao soko yaani kuwaongezea uwezo wa kununua mahitaji yao.Hakuna wivu kwenye kupata labda tu kwenye jamii ya kishenzi maana kila apatae atapata kwa njia yake maana njia ni nyingi kuliko watu watafutao njia.Wengine watauza vyakula, Kilimo,usafirishaji,michezo,sanaa, music nk.Me napinga nadharia ya kuzuia watu kupata kadri ya matakwa yao ( kusomeshwa no) hizi ni nadharia za kidikteta kuwafanya watu kuwa masikini ( mashetani) ili uwatawale,uwanunue uwatakao kwa makubaliano ya kutii utakalo hata kama watadhalilika.Thus huwezi tenganisha ujamaa na udikteta,udikteta na ufukara ni pacha.Upebari uendana na demokrasia, na demokrasia uendana na ustawi wa watu.Ujamaa unakazia kutawala watu na ubepari ukazia kutawala uchumi. Njia za uchumi zikiwa huru watu wataiona fursa watawekeza zaidi ( fear of future) wengi watapata Kazi,serikali itapata kodi zaidi,mifuko ya hifadhi ya jamii,TRA,na mamlaka zote zitapata pesa zaidi tokana na kodi na Tozo mbali mbali.Serikali ikiwa na kodi ya kutosha itaachana kutegemea machinga na matrafiki kama vyanzo vya kukamua watu,hii itaondoa watu kuichukia serikali sababu inapesa za kuwahudumia kwenye elimu,afya,miundombinu,ulinzi,nk.
Nimegundua matatizo tuliyo nayo waswahili,wengi, ni kuiga ki wivu wivu, mfano
mtu anataka awe Rubani kama mimi, wakati taaluma ile haiwezi, ana fail fail tu. hana capacity ya kugundua vipaji vyake,akishindwa sasa anakuwa na chuki moyoni,kwa jinsi Rubani anavyo tanua na Magari ya mkopo roho ina muuma sana.

Tatizo la pili ni la mtazamo wa mtu mwenyewe ndani ya nafsi yake, anataka Rais ampe kazi badala ya kuwa mbunifu, mnataka woote tufanane haipo hiyo, nyumbani kwenu huwezi lala kitanda cha Baba eti ndo usawa no, msosi baba atakula mzuri kuliko weye, atalala pazuri, hata mbinguni siyo ivo. msiangalie Rais anapata nini angalia wewe unfanya nini?

Tabia zetu ndo zina fanya wao viongozi waibe,hivyo lazima tuwajibike kwa matendo yetu, tusilaumu tu tujiangalie kwanza sisi tulivyo,kama umewahi pigika wakakukimbia, halafu ukapata tena ndo utajua hii kitu

KWA NINI NASEMA HIVI;
Tuna ile tabia ya kumuangalia mtu ana nini, ndo anapata heshima,''kuna ule usemi mtu kitu'' km huna kitu ni dharau kwa kwenda mbele, kanisani utatengwa hata kama ulikuwa Rais. angalia familia zetu tu mtoto mwenye nacho ataheshimiwa hata akiwa mdogo. mkubwa utasalimiwa habari za saa hizi, ikitokea misiba ndo utacheka kabisa kwanza huambiwi, labda jirani yako mpendwa akupe taarifa. tena sasa kama ulikuwa Rais then huna kitu panapo ku-retire heeeee!

Sasa hizi tabia ndo zina wafanya wajilimbikizie, ili wakubalike kwa jamii yao hakuna asiyetaka kupendwa tukibadilika hali itakuwa njema
Kanuni nyingine hizo za kupata kunini, ni maneno tu ya propaganda za Dini.
 
Eeenh, smaki, una njia yako ya kufikisha ujumbe; ni njia isiyokuwa rahisi sana kwa wengi watakaokusoma, lakini ni ujumbe mzito uliotoa hapa..
 
Per capital income sijui ila kwa mapato ya kila mtu wanaweza kutuzidi sababu hata pesa yao ipo juu. sh. 1 ya kenya sawa na 10 ya kwetu kama sikosei.
shilingi moja ya kenya ni sawa na shilingi 23 za bongo
 
Eeenh, smaki, una njia yako ya kufikisha ujumbe; ni njia isiyokuwa rahisi sana kwa wengi watakaokusoma, lakini ni ujumbe mzito uliotoa hapa..
Kalamu1 nakubali mchango wako ni wa muhimu sana na kuna mahali nimegundua bado kama watanzania uwezo wetu wa kujenga mantiki uko chini sana.

Huwezi kujenga mantiki kama wewe mwenyewe huna mwendelezo (Consistence) ya mawazo uliyoanza nayo wakati unajenga msingi wa hoja yako.

Huwezi kuchanganya falsafa za Ujamaa na ubepari halafu mwishoni ukawa tena na Ujamaa. Hili tunaloliona kwenye mjadala huu ni ishara kwamba jamii yetu inatakiwa irudi darasani ili ijifunze kujenga mantiki,
 
Hivi wapinzani si ndio mmemtuma wakala wenu yuko huko kwa ngozi nyeupe akachochee hii hali irejee ??
 
Kalamu1 nakubali mchango wako ni wa muhimu sana na kuna mahali nimegundua bado kama watanzania uwezo wetu wa kujenga mantiki uko chini sana.

Huwezi kujenga mantiki kama wewe mwenyewe huna mwendelezo (Consistence) ya mawazo uliyoanza nayo wakati unajenga msingi wa hoja yako.

Huwezi kuchanganya falsafa za Ujamaa na ubepari halafu mwishoni ukawa tena na Ujamaa. Hili tunaloliona kwenye mjadala huu ni ishara kwamba jamii yetu inatakiwa irudi darasani ili ijifunze kujenga mantiki,
.Ni vizuri kuchukua Mazuri ya upande zote na kuunda mfumo sahihi
 
Kwa maana hiyo hiyo uchumi wa Kenya ni sawa na Uchumi wa Japan?
Huku ni kujiaibisha sasa.
Ndugu unaonyesha dalili za stress sugu.
Kuna mtu huko juu alisema Shilingi 1 ya kenya ni sawa na shilingi 10 ya bongo. Mimi nikamwambia ni sawa na shilingi 23 ya bongo. Sasa sijui Japan na uchumi wake vimefuata nini kwenye mjadala huu.
Nakushauri nenda hata kigamboni kakae kwenye hotel au lodge ya bei rahisi, inasaidia kupunguza stress.
 
Nimegundua matatizo tuliyo nayo waswahili,wengi, ni kuiga ki wivu wivu, mfano
mtu anataka awe Rubani kama mimi, wakati taaluma ile haiwezi, ana fail fail tu. hana capacity ya kugundua vipaji vyake,akishindwa sasa anakuwa na chuki moyoni,kwa jinsi Rubani anavyo tanua na Magari ya mkopo roho ina muuma sana.

Tatizo la pili ni la mtazamo wa mtu mwenyewe ndani ya nafsi yake, anataka Rais ampe kazi badala ya kuwa mbunifu, mnataka woote tufanane haipo hiyo, nyumbani kwenu huwezi lala kitanda cha Baba eti ndo usawa no, msosi baba atakula mzuri kuliko weye, atalala pazuri, hata mbinguni siyo ivo. msiangalie Rais anapata nini angalia wewe unfanya nini?

Tabia zetu ndo zina fanya wao viongozi waibe,hivyo lazima tuwajibike kwa matendo yetu, tusilaumu tu tujiangalie kwanza sisi tulivyo,kama umewahi pigika wakakukimbia, halafu ukapata tena ndo utajua hii kitu

KWA NINI NASEMA HIVI;
Tuna ile tabia ya kumuangalia mtu ana nini, ndo anapata heshima,''kuna ule usemi mtu kitu'' km huna kitu ni dharau kwa kwenda mbele, kanisani utatengwa hata kama ulikuwa Rais. angalia familia zetu tu mtoto mwenye nacho ataheshimiwa hata akiwa mdogo. mkubwa utasalimiwa habari za saa hizi, ikitokea misiba ndo utacheka kabisa kwanza huambiwi, labda jirani yako mpendwa akupe taarifa. tena sasa kama ulikuwa Rais then huna kitu panapo ku-retire heeeee!

Sasa hizi tabia ndo zina wafanya wajilimbikizie, ili wakubalike kwa jamii yao hakuna asiyetaka kupendwa tukibadilika hali itakuwa njema
Kanuni nyingine hizo za kupata kunini, ni maneno tu ya propaganda za Dini.
Hata nchi zilizoendelea raisi wao awapi chakula mdomo watu wake afanyacho ni kutengeneza Sera miundombinu itakayo wafanya watu wake waweze kuzalisha ( capacity building) tofauti na nchi zetu hizi mfano hapa kila siku utasikia ni marufuku ni makatazo kama tumekariri hakuna mbadala wa utekelezaji wa jambo.Mifumo ya kukukwamisha usiinuke ni mingi sana angalia tu mfano kodi zetu si rafiki ni komozi,urasimu kwenye kupata vibali,nk.Ni ngumu kujikwamua.
 
Heee! shekhe Elimu chakachua ndo gani au jibu rahisi kwa hoja ngumu, Madrassa? au RC ,pole km ulipata chakachua, siyo lazima wawe bright wote,

Ewaaaa! sasa naona unaanza kunielewa somo lime fanikiwa kupigia mkaa au jivu ndo zetu hiyo si uchaguzi.tu tena na mswaki wa JITI kabisa nalo hapa nyumbani kwangu.
shekhe wewe wapigia nini swaki la kizungu nakushauri tu urudi Eden, Dr ndodi anavyovitabu kanunue.

Mlikataa mambo mazuri ya Nyerere lazima mkome, Ile Dhambi inawatafuna sasa, Mungu nisamehe,mnastahili, tena sasa hata familia zinahamia Ulaya ili mfe kabisaa na vinyongo, make hamna shukrani.atakuja mmojammoja humu kulia lia
Hela itarudi kule kule sababu mmekataa ujamaa. Tiba bure,Shule bure,Usafiri bure, JKTbure.Burga bure.Nyumba bure.
Waogopa viraka?si fashion hiyo au? yaani hata fashion mlichukia? jeans ni viraka vitupu siku hizi,tena afadhali viraka, zimetoboka kabisaa, magoti mapaja njenje.

Jamaa yangu yeye alijionea, ujinga huu, haya majitu,hayaelewi akaenda zake Ulaya akatawala nchi, akiwa ulaya. miaka mitano mingine mkampa. mkadhani atatulia? kaenda zake kula bata. mkampa majina meengi, mara oooh! huyu bana dhaifu na nini liu!
Vumilieni. na bado, wewe mtu anakwambia kabisaa mtaisoma number mnampa kura. hivi huoni hiyo ni laana ya kupinga ujamaa
Basi tubuni hamtaki tuwafanyeje sasa.
Minyororo ya utumwa mmejifunga wenyewe,Mabepari mkitaka waweza waosheni familia zenu bongo nzima,nini sukari sijui unga ili mradi tu muwape mkoa mmoja.
USHAURI''
Tubuni kwa Mungu wa kweli, mfunge na kuomba seriously, ka stone nimeanza kukapenda sasa kanamjua Mungu sana kajamaa,haka nisamehe stone sikujua
.Nyie bado mmefungwa na mawazo mgando ujamaa uliwafaa nyie sio kizazi cha sasa,kila kitu kimebadilika mazingira na mifumo imebadilika.Hakuna laana yeyeto ya kumkosoa MWALIMU yule ni mwanadamu anayo mema mengi na mabaya pia japo alifanikiwa kuyadhibiti yasijulikane na aliweza sababu hakukuwa na mitandao tofauti na huyu copy na paste inavomuumbua.Ujamaa ndio ulizaa azimio la Arusha la kudhulumu Mali za watu walizozitafuta kwa jasho kizazi na kizazi.Laana ya kuitaifisha Mali za watu pasipo ridhaa zao ikapelekea zote kufa kibudu na kupelekea kuzirejesha mikononi mwa watu.Nia ya MWALIMU ilikuwa ni nzuri sema tu akuzijua tabia za watz.Swala LA watu kuchagua aliyewaambia mtaisoma no ( kuwafanyeni nyote muwe masikini) na watu kuchagua huo ni uelewa Mdogo wa watu sababu ya ukosefu wa utambuzi tofauti na wenzetu wa Kenya walivoambiwa hivo awakukosea kuchagua Leo Wangekuwa wakilia tu wakaona heri ya mkate kamili.
 
Kama mbinguni kuna matabaka why Tanzania ujamaa ni mfumo wa kijinga yaani umaskini ni fahari
 
Watu tulijua hata kuchagua katambuga gani ni nzuri! Unga wa Yanga tuliununua kwa vinote vile vile. Maofisini kila mtu anavaa katambuga siyo ya sasa eti unachaguliwa cha kuvaa kwenda ofisini kwa watu kama pale Ardhi na uhamiaji! Wangejua watu tulikuwa tukiona mtu na mtumba tunamwonea wivu?? Khanga za Kenya zilikuwa mali baada ua urafiki na viwanda vingine kuishiwa mali ghafi.
Yaani mpaka khanga zilishonwa viraka, tena sometimes kiraka cha khaki material hadi ukaja ubunifu kuyapika mavitambaa(sikumbuki ni madurufu yale au materials gani) kwa marangirangi na kuyakausha(tie and dye if I'm not mistaken) na ikawa ni biashara hasa.
Raha ilikuwa ni mtu akitoka overseas upate jeans, T-shirts, 'raba mtoni' na music system na audiotapes zenye ngoma latest dunia yote unaiona yako. Nchi ilikuwa imejaa dhiki na ushamba kiasi kwamba hata mtu aliyekuja kutoka Burundi alikuwa anaonekana 'sopsop' kuliko m'Tz.
 
Back
Top Bottom