Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

We are materialistic sana, Ndio maana umaskini uko wazi wazi... Hata ukipewa Hilo tank aliwezi kukutajirisha zaidi ya kumpa mtu hela ya kununua chakula Cha miezi kadhaa tu...

Kingine hapo wanahatarisha Maisha yako kwa vidumu ambayo wakiuza watapata 50K
Well said !
 
Tutajifunza baada ya matukio mangapi ?!!

Yaani unahatarisha maisha yako na kutengeneza athari hasi kwa walio nyuma yako kisa visenti vichache na usingizie umaskini ?!!

Duuh
 
We are materialistic sana, Ndio maana umaskini uko wazi wazi... Hata ukipewa Hilo tank aliwezi kukutajirisha zaidi ya kumpa mtu hela ya kununua chakula Cha miezi kadhaa tu...

Kingine hapo wanahatarisha Maisha yako kwa vidumu ambayo wakiuza watapata 50K
Umasikini mkubwa upo akilini.
 
Ignition point hata cheche tu kwa bahati mbaya hapo ni kiama. Kwenye road tanker kama hizo nikukaa mita 200
 
Trafik kakosea sana aisee ila wahuni wameamua kumrekodi kumpotezea na kazi kabisa...ngoja niendelee kusoma taarifa ya CAG hapa.
 
Sasa huyu polisi hajui madhara ya mafuta? Tatizo Jeshi la polisi limeacha kuajili vijana kutoka Jkt wao wanaokota ndugu zao Mitaani
JKTkitu gani na wewe, huo nao ulikuwa ubaguzi. Utaweksje sharti la JKT wakati huna uwezo wa kuchukua vijana wote wanaomaliza kidato cha 6? Hapo kinachosumbua ni umaskini!
 
Ila hapo ajafanya baya lolote unaona dhahabu utashindwa okota
 
Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali

Matunda ya CCM hayo. Na bado wanataka kung'ang'ani kuendelea kututawala kupitia chaguzi zao za HILA, GHILIBA na UDANGANYIFU.
 
Back
Top Bottom