Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Well said !We are materialistic sana, Ndio maana umaskini uko wazi wazi... Hata ukipewa Hilo tank aliwezi kukutajirisha zaidi ya kumpa mtu hela ya kununua chakula Cha miezi kadhaa tu...
Kingine hapo wanahatarisha Maisha yako kwa vidumu ambayo wakiuza watapata 50K
Hiyo ni dieselIla waafrika bongo zetu zitakuwa zimechanganywa na makamasi.
Yaani mijitu haijifunzi kabisa kwa yaliyotokea huko nyuma!
Umasikini mkubwa upo akilini.We are materialistic sana, Ndio maana umaskini uko wazi wazi... Hata ukipewa Hilo tank aliwezi kukutajirisha zaidi ya kumpa mtu hela ya kununua chakula Cha miezi kadhaa tu...
Kingine hapo wanahatarisha Maisha yako kwa vidumu ambayo wakiuza watapata 50K
JKTkitu gani na wewe, huo nao ulikuwa ubaguzi. Utaweksje sharti la JKT wakati huna uwezo wa kuchukua vijana wote wanaomaliza kidato cha 6? Hapo kinachosumbua ni umaskini!Sasa huyu polisi hajui madhara ya mafuta? Tatizo Jeshi la polisi limeacha kuajili vijana kutoka Jkt wao wanaokota ndugu zao Mitaani
Haina shida hiyo kikubwa wasichomoe tu batteryTazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
Matunda ya CCM hayo. Na bado wanataka kung'ang'ani kuendelea kututawala kupitia chaguzi zao za HILA, GHILIBA na UDANGANYIFU.Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali