Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

Ukitaka ukione kifo..watishie wadau hapo kama unataka kuwasha sigara😁😁
 
Kuna muda mwengine sio umaskini, bali ni tamaa tu, kuna watu hata walipwe mamilion, ila bado ataiba vipesa vidogo. Kuna roho zipo hvyo

je huyo dada askari huwa analipwa hayo mamilioni?
 
Kuna muda mwengine sio umaskini, bali ni tamaa tu, kuna watu hata walipwe mamilion, ila bado ataiba vipesa vidogo. Kuna roho zipo hvyo
Uko sahihi. Mambo kama haya ni tamaa zaidi ya njaa.
 
Kaacha dumu kaenda kuweka ulinzi wasichomoe betri au kuwasha sigara🤣
 
Endeleeni kusifia serikali
Na bado mpaka nyokee
 
Chawa watasema Mama ameleta mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…