Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

Hutakuwa tajiri kamwe. Ila utakuwa mstaafu mwenye aman

Amekwambia anataka kuwekeza huku anaendelea na kazi za kuajiriwa sas wewe unampa mawazo ya utajiri!,anausimamiaje au kuutafutaje huo utajiri wakati anauza muda na skills kwa muajiri wake!?
 

Ni kweli maana muhindi kaja kutafuta ugenini na hujui huko kwao labda kajenga halafu pia anaupimaje utajiri wa wahindi?
 
Ni kweli maana muhindi kaja kutafuta ugenini na hujui huko kwao labda kajenga halafu pia anaupimaje utajiri wa wahindi?
Kweli kabisa ,usione mzungu sijui muhindi yupo bongo anafanya biashara au anafanya kazi ukajua kwao hajengi,hawa watu wanajenga makwao,hii nimeshuhudia mwenyewe,cha msingi kila mtu afate njia zake anazoona zinafaa hakuna ambae hayupo sahihi.
 
Kwa wafanyabiashara kuanza kuingiza mamilioni kwenye mjengo kabla ya biashara kustabilize ni kosa ila kwa mwajiriwa ni sawa kuanza kujenga nyumba ili kukwepa gharama za kodi.
Mkuu hongera, umesummarize vyema mdahalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…