Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

Angalia wahindi muhind anapanga nyumba kariakoo juu mfano analipa laki mbili kwa mwezi duka lake liko chini hapo hapo anapoishi hana gharama za usafiri wala chakula cha mchana mswahili hataki kulipa pango.laki mbili anaona bora akajenge nyumba yake kimara awe anakuja kwenye duka lake lililoko kariakoo la kuuza nguo gharama za kuweka mafuta kwenye gari yake kila siku ni elfu 20 kwa mwezi anatumia laki sita !! Kula yeye na mkewe chakula mchana wanatumia elfu kumi wote wawili kula hotelini kwa mwezi wanatumia laki tatu muhindi anakula kwake .Hapo nani mjinga Kati ya muhindi anayepanga na mswahili anayekaa kwake kwenye bungalow lake kimara? Piga hesabu kwa miaka 40 ,nani atakuwa lofa hapo Kati ya muhindi na mswahili
Tanzania nzima hatuwezi kaa Kariakoo na Posta mkuu
 
Mtoa mada hajapinga kujenga nyumba au kuwa na kwako kwa maana kuachana na mwenye nyumba ambaye kila mwezi amekugeuza kitega uchumi bali anazungumzia thamani ya nyumba. Kwanini uwekeze million 100 kwenye nyumba ambayo haikuingizii pesa yoyote, kabla ya kuwa na biashara au uwekezaji?Hoja ipo hapo.
Hadi unamudu kujenga nyumba ya mil 100 kipato chako ni cha kuunga unga kwani?.

Smtimes mtu anajenga kitu anachopenda mama tayari ana namna ya kupata hio hela kwenye shughuli zingine hivyo lazima aishi pazuri
 
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.

Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.

Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.

Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini

Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.

Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto zenu za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Kaka hiyo princple yako ipo too general, wahindi wengi wafanyabiashara, na wengi wengi wao ni foreigners, sasa unataka mtumishi wa Umma/mfanyakazi nae aige hiyo kanuni? Kumbuka bila pa kuishi yaani nyumba yako likitokea la kutokea ama umeachishwa kazi, umefariki, shida yake sio ndogo
 
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.

Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.

Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.

Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini

Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.

Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto zenu za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Vyote vina nafasi yake, inategemea mtu na mtu vipaumbele vyake ni vipi,

Mfano uchumi wa sasa unaonekana na hauongopi kodi na gharama za uendeshaji biashara una ugumu mpaka kutoboa,

Ukianza kujenga kwanza unapungiza stress ya maisha, pia uhakika wa kuishi upo, hapo sasa ndiyo uanze kupambana kutoka kibiashara kila mtu ni anavyoona, usilazimishe tufanane kutoka kimaisha
 
hiyo princple yako ipo too general, wahindi wengi wafanyabiashara, na wengi wengi wao ni foreigners
Sio kweli wahindi wamesambaa nchi mzima ni raia kabisa wa Tanzania wanamiliki maduka nk ni pure Tanzanians. Wahindi foreigners wachache Mno sidhani hata kama wanafika 50 nchi nzima wengi tufanye kazi kama ma experts kwenye viwanda na Taasisi kama vyuo vikuu nk hawako kwenye biashara hii sababu sio ya kweli unatoka jibu rahisi
 
Kwa mazingira ya sasa ya kiuchumi ukipata kahela reasonable jenga nyumba hata vyumba vitatu. Nilikua naamini hivyo kama mleta mada but I have seen people lost it all na hawana hata pakufikia.... Tanzania sio mahala rafiki sasa kiuchumi
 
Tanzania kuna umaskini?
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.

Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.

Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.

Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini

Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.

Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
 
Nilikua na akili kama uisemayo hapo,

Kama zali ndoto yangu ya kwanza ikatiki nkamiliki gari japo lilikua la bei rahisi, na nkafanikiwa kumiliki biashara pia, plan ya kujenga ilikua itokane na biashara zangu lkn kutokana usimamizi m'bovu wa niliowaamini wasimamie wakaziua zote, biashara 4 zote zilikufa Kiukweli nchi hii na nyingi za kiafrica hakuna tatizo la ajira hata kidogo, shida ipo kwa waajiriwa wenyewe sio waaminifu,
Pole sana Uko sahihi Tanzania Tatizo la ajira halipo kabisa tatizo lililopo sehemu la kwanza ni kuchagua kazi .Kila mtu Tanzania ana ndugu mwenye uwezo hakuna ukoo mzima usiokuwa na ndugu mwenye uwezo lakini ndugu hawaamini kabisa angeweza kufungua hata genge au kupika na kuuza maandazi kuwa tushirikiane tuanze biashara taratibu tuwe tunagawana faida na ingine tunaongeza mtaji hata Bakhresa alianza hivi taratibu wanafoka auze maandazi nani kafanye mwenyewe!!!! sasa utafanyaje mwenyewe wakati wewe umeajiriwa? kila asubuhi uko kibaruani?? !!! kwa hiyo wanakwama wao nma wewe wanakukwamisha ndoto zako za biashara!!! Halafu wanabaki kubweka ajira hamna!!!

La pili uaminifu hili la uaminifu ndilo linaongoza kwa kukosesha watu ajira na kukwamisha biashara za watu na kukatisha tamaa watu kuwekeza kwenye biashara

Ukifungua ukaajiri mtu shida kwenye uaminifu ukimwachia anavuruga anataka ushinde dukani umemtolea mimacho hapo hapo kama wahindi wanavyofanya!!! Sasa mtu mwajiriwa au ni mbunge au waziri au mfanyabiashara mkubwa au mwenye shughuli nyingi nk huo muda huna lakini pesa ya mtaji ipo tena ya kutosha lakini kupata wafanyakazi waaminifu shughuli pevu mfano mtu unasema nijiongezee kakipato nifungue walau ka saloon ka kiume au kike unaajiri mtu akinyoa vichwa kumi yeye anakuibia ya vichwa tisa anakwambia biashara mbaya hadiu unafunga unaona salon hailipi sababu pesa za kupanga nk hazirudi kumbe umefanya uamuzi tu mbaya kwa kuwa misled na huyo kibaka mwajiriwa asiye mwaminifu kama ilivyotokea kwako!!! Ukifunga Salon naye anaingia kwenye kundi la kulalamika kuwa ajira hakuna!!!!

Mzee Sumry aliyekuwa mumuiliki wa mabasi 81 ya Sumry ambayo kila basi moja liliajiri madereva wawili sababu ni ya safari ndefu kwa hiyo jumla ya madereva tu aliokuwa kaajiri ni 162

Mojawapo ya sababu kuu iliyomfanya aache biashara ya mabasi 81 Wallimwangusha hadi akaacha biashara na kwenda kwenye kilimo madereva 162 wakapoteza kibarua kwa kukosa uaminifu!!! Fikiria makondakta wangapi na mafundi makenika wangapi wa hiyo kampuni walipoteza kazi kwa kipengele tu cha uaminifu kampuni ilipofunga shughuli zake.Jiulize wategemezi wangapi walioathirika kwa hao wafanyakazi wasio waaminifu kupoteza ajira!!! Hilo kundi la wasio waami8nifu nalo litaunga tela kuanza kubweka kuwa Tanzania kuna Tatizo la ajira!!!!!!

Ni wakati Muafaka ndugu na kila mwenye pesa zake anayetaka kuwekeza awe mkali kama pilipili tusiogope hata kuwekana ndani ukiona ndugu kakuangusha kwenye biashara kuchekeana kuogopana ohh nilikulia kwao au ni ndugu zangu ndugu watanielewaje? Kauli iwe I KNOW YOU BUT MY BUSINESS DOESNT KNOW YOU tukiajiri ndugu au tukiingia ubia na ndugu

Mzee wa watu Sumry hadi anatia huruma akieleza sababu ya kuacha biashara ya mabasi 700 moja ya sababu kuu akisema ni madereva na wasimamizi msikilize mwenyewe

Nahisi naongea na watu tuko dunia tofauti ya maisha na umri. Ngoja nikae kimya
Nakuelewa sana mkuu na njia zako ndizo nilizofanya mimi japo sijafikia pakubwa sana ila naelekea...achana na watoto wasiotaka kuijenga kesho yao.
 
Vyote vina nafasi yake, inategemea mtu na mtu vipaumbele vyake ni vipi,

Mfano uchumi wa sasa unaonekana na hauongopi kodi na gharama za uendeshaji biashara una ugumu mpaka kutoboa,
Kuna ,tu aliniambia kuwa wayahudi wameendelea kwa sababiu moja kazi wanayoitambua wao ni ile tu unayoweza mrithisha mwanao na vizazi vijavyo kazi kama za ajira huhesabu kama utapeli fulani hivi

Wao kazi wanazoamini ni UFUNDI kuwa ufundi waweza rithisha kizazi

Kazi ya Pili ni Kilimo na Uvuvi na ufugaji kuwa hizo waweza rithisha mwanao na vizazi vingine vijavyo

Cha tatu wanaamini kwenye Biashara kuwa biashara waweza rithisha mtoto na vizazi vijavyo

Lakini kwetu mtu anawaza kipaumbele cha kujenga nyumba ya kulala na kuamka !!!! Kama kipaumbele cha kwanza anyway yote maisha

Pili Hatuna muda wa kuwaza tukiona vikwazo kuwa tufanyaje tu na give up haraka.Hatuna muda wa ku brain storm solution tukiona kuna tatizo .Unasema biashara nguimu kodi nyingi kwa hiyo ume give up!!!! Huoni bado watu wanapiga pesa kupitia biashara? vyakula vinauzwa kama kawaida ,daladala zinapiga kazi kama kawaida,akina bakhresa wanaendelea kuwa mabilionea,vifaa vya ujenzi vinaendelea kuuzika kama kawaida nk MTANZANIA YUKO TAYARI KUKESHA AKISOMA AFAULU MASOMO LAKINI HAYUKO TAYARI KUKESHA KUWAZA KUTAFUTA SOLUTION YA ALIPOKWAMA KIMAISHA
 
Hata hao wahindi kwao wana nyumba wamejenga. Huwezi kuwa unaishi say Afrika Kusini ukafikiria kujenga huko. Utapanga na kufanya biashara au shughuli yoyote halali. Hii dhana ndio ipo kwa wahindi, hapa wahindi sio kwao. Kwa baadhi wenye fedha nyingi sana uwa wanajenga maeneo kama masaki, upanga n.k na wengi uwa wananunua apartment.

Halafu kujenga sio umasikini, kumiliki nyumba ni jambo bora sana katika maisha maana nyumba ni kitu ambacho kinakupa mengi sana ikiwepo kukupunguzia gharama za kodi, kukuondolea stress za kutokuwa na kwako na pia hata ukipata tatizo la kiuchumi unakuwa na pa kuanzia.

Nyumba ni kitu ambacho hata ukiondoka duniani ghafla familia yako inakuwa na sehemu ya kuanzia kuliko ukiwa huna nyumba.

Nyumba ni muhimu katika ukuaji wa miji na Taifa kwa ujumla. Unavyoona nje yale majengo ni kwamba watu wamewekeza ndio maana kunapendeza. Na sisi tujenge majengo kukuza nchi yetu. Tuachane na wahindi wale hapa sio kwao ndio maana hawajengi. Tena si wahindi tu hata wazungu hawajengi hapa kwa kuwa si kwao hapa watachuma tu ila kujenga wataenda jenga kwao
Uko vzr....but key issue ni kwamba kipi kinaanza kujenga nyumba au kuwekeza kwenye Biashara???
 
Uko vzr....but key issue ni kwamba kipi kinaanza kujenga nyumba au kuwekeza kwenye Biashara???
Inaanza kwanza shughuli itakayokuingizia kipato maana nyumba inajengwa kwa hela ambazo umeshachuma na zinaendelea kuingia. Hakikisha kabla hujafika 40 au watoto hawajaanza sekondari uwe na kwako otherwise itasumbua sana kufanikiwa
 
Kwa mazingira ya sasa ya kiuchumi ukipata kahela reasonable jenga nyumba hata vyumba vitatu. Nilikua naamini hivyo kama mleta mada but I have seen people lost it all na hawana hata pakufikia.... Tanzania sio mahala rafiki sasa kiuchumi
Good nimeshanga mleta mada anatokea dunia gani
 
Kuna ,tu aliniambia kuwa wayahudi wameendelea kwa sababiu moja kazi wanayoitambua wao ni ile tu unayoweza mrithisha mwanao na vizazi vijavyo kazi kama za ajira huhesabu kama utapeli fulani hivi

Wao kazi wanazoamini ni UFUNDI kuwa ufundi waweza rithisha kizazi

Kazi ya Pili ni Kilimo na Uvuvi na ufugaji kuwa hizo waweza rithisha mwanao na vizazi vingine vijavyo

Cha tatu wanaamini kwenye Biashara kuwa biashara waweza rithisha mtoto na vizazi vijavyo

Lakini kwetu mtu anawaza kipaumbele cha kujenga nyumba ya kulala na kuamka !!!! Kama kipaumbele cha kwanza anyway yote maisha

Pili Hatuna muda wa kuwaza tukiona vikwazo kuwa tufanyaje tu na give up haraka.Hatuna muda wa ku brain storm solution tukiona kuna tatizo .Unasema biashara nguimu kodi nyingi kwa hiyo ume give up!!!! Huoni bado watu wanapiga pesa kupitia biashara? vyakula vinauzwa kama kawaida ,daladala zinapiga kazi kama kawaida,akina bakhresa wanaendelea kuwa mabilionea,vifaa vya ujenzi vinaendelea kuuzika kama kawaida nk MTANZANIA YUKO TAYARI KUKESHA AKISOMA AFAULU MASOMO LAKINI HAYUKO TAYARI KUKESHA KUWAZA KUTAFUTA SOLUTION YA ALIPOKWAMA KIMAISHA
Mkuu unaishi dunia ipi, especially ni kama hauishi Tanzania,

Ngoja niandike kwa ufupi mimi nimejenga na nilikua na mawazo kama yako, nilikua na fungu kama 80m nikawaza nijenge au yote niweke kwenye biashara, aisehhhhh ila mawazo yangu huwa hayanidanganyi nikapima mzani niliona biashara isije nikaweka hela yote ikaishia kwenye biashara,

Nikawa na wazo lingine nilichofanya nilijenga kwanza nilipomaliza ujenzi ndiyo pesa nikaweka kwenye biashara kwahiyo mambo ni kuchagua sio lazima mtu aishe kwa kanuni waliopitia wengine, yani unafungua biashara na pesa yote na huku una gharama ya kulipia pango kila mwezi na bado kuna za kulipia gharama nyingine za offisin, uendeshaji wa offisi unakua mkubwa kidogo, ili kuiendesha biashara huku una kwako unakua huna stress watoto watarithi nyumba watakua na pakuanzia, pia biashara ni rahisi kufanya kama huna majukumu mengine, mkuu sijui umesomea uchumi upi huo hata huwezi kutambua nyakati hizi sio rafiki sana kumwaga pesa zote kwenye biashara, imesaidia sana hilo wazo biashara na hali hii ya nchi ilivyo ni kasumba.
 
Baba hapo kwenye asset na liability umewapiga watu kamba [emoji16][emoji16][emoji16].
Asset ni property that generates income wewe utakuwa mhasibu uliyesoma kwa kukariri hata kama una CPA unarekodi hata jengo bovu kama Asset wachumi hakuna ujinga wenu huo wa kujua asset ni any property hata kama ni useless property wahasibu huripoti kama Asset wajinga wakubwa ndio maana sio rahihisi kukuta managing director wa kampuni mhasibu ni wajinga fulani hivi

Kiuchumi Liability is any property that does not produce income wajinga wahasibu liability ni madeni unayodaiwa!!! Kwa wahasibu wajinga tena wenye CPA nyumba ya kulala na kuamka ni Asset!!!! Ina generate income gani ? Ndio maana mhasibu akitengeneza hesabu zake zinatakiwa zipelekwe kwa wachumi wanaojua kufanua analyisis

Wahasibu ni makarani tu wa financial data
 
Back
Top Bottom