Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu
Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi
Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo

Cha kwanza
Ni madaraka ya Rais
Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi ndogo saana katika nchi pia hana mamlaka ya kuamua chochote na kukubaliwa. Njoo africa Rais ni Mungu.

Cha pili ni the way wanavyo ongoza mikoa Yao
Katika nchi za wenzetu kila Provence inajibeba yenyewe. Pia kila cities katika province inajibeba yenyewe
Katika nchi za wenzetu wakuu wa mikoa wanachaguliwa na Raia sio kuteuliwa na Rais
Katika nchi za wenzetu wakuu wa kila mkoa una ensemble national yake
Sehemu ambayo wanajadili maendeleo ya mkoa wao njoo Afrika Rais ndo kila kitu

Asanteni
 
Back
Top Bottom