Umati wa usaili UDOM: Tunahitaji mjadala wa Kitaifa kuhusu tatizo la ajira nchini

Hiyo mbona cha mtoto mbona .kuja interview moja ya nafasi za Bandari nilihudhuria watu tulioitwa walikuwa ni elfu 6 na ushee lkn nafasi zilikuwa ni 9 yaani tisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…