Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan
Vijana hao walisema wamehamasishwa na kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na serikali ya awamu ya sita, huku wakiahidi kumpa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao