Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Sileti upotoshaji, ninacho maanisha hapa ni mkakati gani CHADEMA mmeuweka ili tume huru ipatikane!? Au ni maneno tu ya "tudai tume huru" mara abda kadabla tume huru hii hapa!
Kama hamna mkakati wowote tume huru itapatikana je? Au ni just wishes!

..ccm si mnajisifu kwa kutekeleza yote yanayopigiwa kelele na cdm?

..sasa tekelezeni na hili la tume huru ya uchaguzi maana wengine tunakaribia kuwehuka kutokana na makelele ya cdm.
 

..wasiwasi wangu ni wagombea wa cdm kukosa mvuto kwa wapiga kura.

..mara nyingi wagombea wa cdm huzungumza mambo wanayopenda kusikia badala ya kuzungumza mambo ambayo wapiga kura wanapenda kuyasikia.

..Wagombea wa cdm waandaliwe vizuri. Wakumbuke kuwa ili kushinda uchaguzi wanahitaji kura za wana-cdm na wasio wana-cdm.
 
Ujumbe umefika
 
..ccm si mnajisifu kwa kutekeleza yote yanayopigiwa kelele na cdm?

..sasa tekelezeni na hili la tume huru ya uchaguzi maana wengine tunakaribia kuwehuka kutokana na makelele ya cdm.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Waganga njaa tu wote hao
 
Uchaguzi bado mkuu! Nyalandu hana ubavu wa kushindana na chama dume hata yeye anajua ila kuleni pesa zake tu. Kama alishindwa Lowassa aliyekuwa na mtandao mkubwa nchini kila idara na chamani atakuwa huyu Nyalandu?
Hili kosa la kulinganisha kila anayewapa changamoto na lowasa linaweza kuwagharimu siku moja.
 
Vipi kyela huko..wamejitokeza wengi au?
 
Weye ulijua kabla kuwa hawatawashida? Au ndio ZILE ramlitenge zinazongoja matokeo.
Kwa hao watu(Edo na Membe) kushindwa ilijulikana mapema kupiga ramli ilikuwa kumpotezea muda mganga tu.
 
Tukiwabwaga CCM halafu wakajifanya kutia mpira kwapani safari hii tutahakikisha hapatawaliki hapa

Hakuna Ujecha safari hii
 
Hongereni chadema kwa hiyo mmutengeneza mabilioni kwa kuuza fomu kwa watia nia

Kweli mnajua kupiga pesa

Naona mleta mada hadi unachekelea kwa jinsi mlivyovuna pesa kwa umati Wa watia nia.
 
Hongereni chadema kwa hiyo mmutengeneza mabilioni kwa kuuza fomu kwa watia nia

Kweli mnajua kupiga pesa

Naona mleta mada hadi unachekelea kwa jinsi mlivyovuna pesa kwa umati Wa watia nia.
Tatizo weye ni sadist! Tukifurahi Unalia kitandani kwa ujinga wako. Kunywa komoni ulale unonoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…