Sileti upotoshaji, ninacho maanisha hapa ni mkakati gani CHADEMA mmeuweka ili tume huru ipatikane!? Au ni maneno tu ya "tudai tume huru" mara abda kadabla tume huru hii hapa!
Kama hamna mkakati wowote tume huru itapatikana je? Au ni just wishes!
..ccm si mnajisifu kwa kutekeleza yote yanayopigiwa kelele na cdm?
..sasa tekelezeni na hili la tume huru ya uchaguzi maana wengine tunakaribia kuwehuka kutokana na makelele ya cdm.