Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
Mamluki wenu mliopanga kuwachomeka Chadema hawana nafasi tenaHongereni chadema kwa hiyo mmutengeneza mabilioni kwa kuuza fomu kwa watia nia
Kweli mnajua kupiga pesa
Naona mleta mada hadi unachekelea kwa jinsi mlivyovuna pesa kwa umati Wa watia nia.
Hawakwepeki hata mjitahidi kudhibiti vipii wataingia tuMamluki wenu mliopanga kuwachomeka Chadema hawana nafasi tena
Tumewadhibiti vibaya sana !Hawakwepeki hata mjitahidi kudhibiti vipii wataingia tu
Hakuna kitu Tena safari mtakoma .Dr Slaa ndie na Lipumba ndio walikuwa na inteliincia Kali ndani ya Ukawa kuwasaidia kujua Nani mamuluki na nani siyo wameondoka na inteligencia yao baada ya UKAWA kuwabwaga mkapokea akina lowasa ,sumaye nk baadaye mnalia Kama ngedere safari hii mtakoma.Asilimia kubwa itakuwa mipandikizi mitupuTumewadhibiti vibaya sana !
Dr Slaa ndiiye aliyemleta LowassaHakuna kitu Tena safari mtakoma .Dr Slaa ndie na Lipumba ndio walikuwa na inteliincia Kali ndani ya Ukawa kuwasaidia kujua Nani mamuluki na nani siyo wameondoka na inteligencia yao baada ya UKAWA kuwabwaga mkapokea akina lowasa ,sumaye nk baadaye mnalia Kama ngedere safari mtakoma.Asilimia kubwa itakuwa mipandikizi mitupu
Sio kweli ndio alipoingia tu Slaa akaondoka zake na Lipumba kupinga huo ujingaDr Slaa ndiiye aliyemleta Lowassa
Iramba kuna nini?Lazaro Nyalandu kaifuta CCM katika mkoa wa Singida kasoro Iramba tu
No hate No fear
Iramba wametiwa umasikini na ccm kushirikiana na Mwigulu ili waendelee kuipigia kura ccmIramba kuna nini?
kama hujui Shut Up !Sio kweli ndio alipoingia tu Slaa akaondoka zake na Lipumba kupinga huo ujinga
Kutia nia kumetupa nafasi ya kuchagua pumba na mcheleUnataka kuniambia mmeisha teuana tayari? Sasa nafasi zimejaaje wakati wenzenu ccm nilikuwa naangalia leo mfano tarime vijijini kuna wagombea zaidi ya 10. Ila waitara kumbe hii tabia katoka nayo huku kutwa anadhani yeye ndiye mgombea pekee
Sawa mpiga ramliTourism industry imecollapse na viwanda vinavyotegemea ku export vinaelekea huko huko
Sasa watalii wamejifungia majumbani mwao wewe huoni au kuna Watalii majini ambao hawaonekaniSawa mpiga ramli
Tatizo la kutokuja watalii kipindi hiki cha Corona, lipo Tanzania tu?Sasa watalii wamejifungia majumbani mwao wewe huoni au kuna Watalii majini ambao hawaonekani
Halipo tanzania peke yake kila Nchi zinaonja joto la corona ila Nchi nyingi zina mikakati ya kuokoa ucbumi wao kwa mfano kupiga pause kwenye kodi na tozo nk ila Serikali hii ya Magufuli ina mkakati wa Do nothing mpaka uchumi uanguke ndio waje na matamko yao ya kijingaTatizo la kutokuja watalii kipindi hiki cha Corona, lipo Tanzania tu?
Mkuu unakuwa na mihemko sana, je thathmini za athari kitu chochote zinafanyia mwisho wa au mwanzo wa tukio?Halipo tanzania peke yake kila Nchi zinaonja joto la corona ila Nchi nyingi zina mikakati ya kuokoa ucbumi wao kwa mfano kupiga pause kwenye kodi na tozo nk ila Serikali hii ya Magufuli ina mkakati wa Do nothing mpaka uchumi uanguke ndio waje na matamko yao ya kijinga