Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Hongereni chadema kwa hiyo mmutengeneza mabilioni kwa kuuza fomu kwa watia nia

Kweli mnajua kupiga pesa

Naona mleta mada hadi unachekelea kwa jinsi mlivyovuna pesa kwa umati Wa watia nia.
Mamluki wenu mliopanga kuwachomeka Chadema hawana nafasi tena
 
Tumewadhibiti vibaya sana !
Hakuna kitu Tena safari mtakoma .Dr Slaa ndie na Lipumba ndio walikuwa na inteliincia Kali ndani ya Ukawa kuwasaidia kujua Nani mamuluki na nani siyo wameondoka na inteligencia yao baada ya UKAWA kuwabwaga mkapokea akina lowasa ,sumaye nk baadaye mnalia Kama ngedere safari hii mtakoma.Asilimia kubwa itakuwa mipandikizi mitupu
 
Hakuna kitu Tena safari mtakoma .Dr Slaa ndie na Lipumba ndio walikuwa na inteliincia Kali ndani ya Ukawa kuwasaidia kujua Nani mamuluki na nani siyo wameondoka na inteligencia yao baada ya UKAWA kuwabwaga mkapokea akina lowasa ,sumaye nk baadaye mnalia Kama ngedere safari mtakoma.Asilimia kubwa itakuwa mipandikizi mitupu
Dr Slaa ndiiye aliyemleta Lowassa
 
Wawe makini sana this time, ccm wana mkakati wa kuwapandikizia "Moles" ili baadaye wakishateuliwa na chama chao wawanunue kusudi wagombea wa ccm wapite bila kupingwa.

Ccm wanahisi njama za kuwatumia MA-DED na mahakimu ili wajifiche wakati wagombea wa Chadema wanapokuja kwao inaweza ikawaudhi Wazungu na kuwafanya Election Observers ku-disapprove of the elections.
 
Hongera CDM; Sisi huku mtaa wa Saba tunasubiri kura za maoni....safari hii hadi kieleweke!!

Mbeleko wa migrants hakuna!!
 
Unataka kuniambia mmeisha teuana tayari? Sasa nafasi zimejaaje wakati wenzenu ccm nilikuwa naangalia leo mfano tarime vijijini kuna wagombea zaidi ya 10. Ila waitara kumbe hii tabia katoka nayo huku kutwa anadhani yeye ndiye mgombea pekee
 
Attachments

  • VID-20200415-WA0015.mp4
    1.5 MB
Unataka kuniambia mmeisha teuana tayari? Sasa nafasi zimejaaje wakati wenzenu ccm nilikuwa naangalia leo mfano tarime vijijini kuna wagombea zaidi ya 10. Ila waitara kumbe hii tabia katoka nayo huku kutwa anadhani yeye ndiye mgombea pekee
Kutia nia kumetupa nafasi ya kuchagua pumba na mchele
 
Hatima ya ushindi wa Wabunge na Madiwani utategemea nguvu ya Mgombea kiti cha Urais.

Haya tuambie watia nia ngazi ya Rais ni kina nani!!? Au hatima hiyo mnamwachia Mtukufu Mboowe!?
 
Tatizo la kutokuja watalii kipindi hiki cha Corona, lipo Tanzania tu?
Halipo tanzania peke yake kila Nchi zinaonja joto la corona ila Nchi nyingi zina mikakati ya kuokoa ucbumi wao kwa mfano kupiga pause kwenye kodi na tozo nk ila Serikali hii ya Magufuli ina mkakati wa Do nothing mpaka uchumi uanguke ndio waje na matamko yao ya kijinga
 
Mkuu unakuwa na mihemko sana, je thathmini za athari kitu chochote zinafanyia mwisho wa au mwanzo wa tukio?
 
Back
Top Bottom