Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

swali.dogo kwa mtoa mada hivi kigoma to dar miak ya hamsin walitembea muda gan na saiv wanatembea muda gan? ala kumbuka kuna lugha ya picha mfano tunda la katikati ilikuwa ni kuzini ila ww utaumiza kichwaaaa
 
ishu za Mungu usiwaze waze kibinadamu yy ndio alyekupa uwezo wa kufklia hapo ulpoishia KWA MAPENZI YAKE UNAWEZA KUTOKA BUGURUNI HADI UBUNGO KWA MIAKA 100 NA NJIA UNAIJUA yule si level zetu yuko juu ya yooote uyafkliayo
 
swali.dogo kwa mtoa mada hivi kigoma to dar miak ya hamsin walitembea muda gan na saiv wanatembea muda gan? ala kumbuka kuna lugha ya picha mfano tunda la katikati ilikuwa ni kuzini ila ww utaumiza kichwaaaa
kaah tena kula tunda la kati iwe kuzini

na kuzaliana ilibidi tuzae vip mkuu
 
Majib yaweza kuwa mengi ila lililo sahihi ambalo hata biblia inatamuka ni uasi.... Wana Wa Israel waliasi ndiyo maana wakatumia miaka 4
 
swali.dogo kwa mtoa mada hivi kigoma to dar miak ya hamsin walitembea muda gan na saiv wanatembea muda gan? ala kumbuka kuna lugha ya picha mfano tunda la katikati ilikuwa ni kuzini ila ww utaumiza kichwaaaa
Acha habari zako za upotoshaji. Nani kakwambia kuwa tunda la mti wa katikati ni kuzini? Kumbuka baadaya kuumbwa Adam na Eveh/Hawa waliambiwa na Mwenyeenzi Mungu waende kuzaa na kuijaza dunia. So wangezaana vipi bila kuzini.

Jiongeze...
 
kiimani zaidi..
ngoja niendelee kupitia michango ya wajuao zaidi...
 
Ilikia ni adhabu ya Mungu. Baada ya kuonekana wameanza kinung'unika juu ya Musa kuwatoa Misri. Mungu akakasirika juu yao na kuwapa adhabu yakutofika safari yao. Na hakuna ata mmoja alie weza kufika.
 
Acha habari zako za upotoshaji. Nani kakwambia kuwa tunda la mti wa katikati ni kuzini? Kumbuka baadaya kuumbwa Adam na Eveh/Hawa waliambiwa na Mwenyeenzi Mungu waende kuzaa na kuijaza dunia. So wangezaana vipi bila kuzini.

Jiongeze...
kumbe hujui walizaa kabla.ya kuruhusiwa usikrem
 
kaah tena kula tunda la kati iwe kuzini

na kuzaliana ilibidi tuzae vip mkuu
warizin kabla ya muda kama wafanyavyo vijana wengi tatzo bible syo syo kma ngoswe walitumia luhga ile kupunguza ukari wa maneno.najua wengi hawajui ndyo maana huyu kashangaa miak 40
 
Acha habari zako za upotoshaji. Nani kakwambia kuwa tunda la mti wa katikati ni kuzini? Kumbuka baadaya kuumbwa Adam na Eveh/Hawa waliambiwa na Mwenyeenzi Mungu waende kuzaa na kuijaza dunia. So wangezaana vipi bila kuzini.

Jiongeze...
ndugu kma ambavyo huyu anashangaa miak 40.kuzini walizin kabla ya ruhusa ya mungu najua itachukuw muda kuerewa ila lugha iliyo tumika ni kupunguza ukari wa maneno.bible inatak uturiv kuierewa mfano

pale walipo.kura tunda mungu aliwapa uerewa wa kijikuta uchi wakaona haibu haibu walimwonea nani.wakat walikuw a wao.pekee? kwanin binadam bible inawaita kizazi cha nyoka?

baada ya kura tunda wakawazaa kain na abel ambao walikuwa wanarana wakauwana

kwaiy ndugu turia utaerewa
 
Duu, huo mwandiko wako, fanyia kazi "l na r " kiongozi
 
Ilikia ni adhabu ya Mungu. Baada ya kuonekana wameanza kinung'unika juu ya Musa kuwatoa Misri. Mungu akakasirika juu yao na kuwapa adhabu yakutofika safari yao. Na hakuna ata mmoja alie weza kufika.
Ile nchi waliingia kina nani?

Turia uandike vizuri
 
Tatizo mnaposoma biblia pia muwe mnasoma na qur,an mtapata majibu.mathalani jambo hili kwenye qur,an lipo wazi kwani kwa kukaidi kwao mungu akawapa adhabu ya kukaa jangwani kwa muda mrefu hapo ndipo walipoletewA vyakula kutoka mbinguni na kuwaambia wataishi maisha ya kutangatanga
 
ww Uko Sawa Kabisa Nakubali Kwa Asilimia Zote
Bado haijajitosheleza yaani miezi 4 ilitosha kuiipoteza kizazi chote kilichotoka Misri ,na kukuza kizazi kingine kilichofanikiwa kuingia Israel? Maana maandiko yanasema kizazi chote cha utumwa hakikufanikiwa kuingia kule kasoro watu wachache ambao nao walifika just mpakani. Kwa concept yako nashindwa kujumlisha moja na moja, maana km hivyo wangeingia Israel vichanga vilivyozaliwa ndani ya hiyo miezi 4!
 
Iweje aruni afike nchi ya ahadi kwani yy hakutokea misri kuambatana na musa ????
 
Possibly! Not certainly. Kutoka kwao misri kulikuwa na sababu zaidi ya moja rejea mwanzo 7;16, lakini hata kikawaida tu ukisoma kama hadithi hao watu hawakusafiri moja kwa moja na hata hawakujua wanakoenda. Mwisho kuna nyakati iliwapasa kupigana vita njiani.
Ukijifikirisha zaidi kibinadamu kwani Mungu hakuwatwaa misri na kuwaweka Israel? Si anasema yote yawezekana kwake..au kuna kitu gani alichokuwa anataka wakione jangwani? Nadhani wangemwamini zaidi kama angefanya hivyo na wangejua kama wasipomtii anaweza kuwarudisha huko.
 
C$P Mugabe
 
Mkuu we mkurya nn? Maana unatumia sana herufi r ambapo ilisthaili kuwepo herufi l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…